VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,137
- 17,908
Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa NSSF,Ramadhani Dau aliteuliwa kuwa balozi takribani miezi miwili sasa. Dau na balozi mwingine mteule bado hawajapangiwa vituo vya kazi kwenye Balozi za Tanzania.
Kwasasa,unaendelea kuibuliwa ufisadi mkubwa kuhusu NSSF. Kwa mujibu wa tuhuma zinazovuma,miradi mingi ya NSSF ina makandokando ya ufisadi wa kutosha na kutisha.
Je,Rais Magufuli alishazijua kashfa hizi zinazomhusu Balozi Dau na ndiyo maana hakupangiwa bado kituo cha kazi? Jipu hili litatumbuliwaje?
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam