Video: Kuna kuzaa mtoto na kuna kuzaa mtoto wa kizungu – Harmonize

Saa zingine Mungu akikupa kitu anakua anakupima... Sasa huyu bwana yeye ni Mweusi , mama'ke ni mweusi, baba'ke ni mweusi lkn bado anakashifu na kuwakejeli wanaozaa watoto weusi - afu anacheka kwa kebehi. Shame!!

Kwahiyo ana maanisha kina Tee Dangote na Nilam ni ushuzi?! Mpe masikini kitu uone tako lake litakavyolia.
Aisee jamaa ni limbukeni hakuna mfano.
 
Saa zingine Mungu akikupa kitu anakua anakupima... Sasa huyu bwana yeye ni Mweusi , mama'ke ni mweusi, baba'ke ni mweusi lkn bado anakashifu na kuwakejeli wanaozaa watoto weusi - afu anacheka kwa kebehi. Shame!!

Kwahiyo ana maanisha kina Tee Dangote na Nilam ni ushuzi?! Mpe masikini kitu uone tako lake litakavyolia.

Tusubiri pacha wake (dogo Harmorappa) aje na demu wa kichina au toka sayari ya Mars kuja kushindana na mmakonde mwenzake, maana hawa vijana feki (bongo fleva) wana ujinga uliotukuka sana.
 
Kawatia aibu wamakonde wenzie wote, kuanzia Nkapa, Nape hadi Harmorapa
 
Mi bado naamini, Harmonize na Harmorapa ni ndugu haya majibu ndo uthibitisho wangu
 
Sijaona ubaya kwenye hiyo clip...ila kilichopo ni wivu wenu wa kijinga tu kwa Harmonize
 
Msanii wangu namba 2 Tanzania nzima baada ya MOND,napenda vile unavyojua kuufukuza umaskini kwa hali yoyote,hiyo inaitwa wamependa hawajapenda we ndio ushasema na haibadiliki.
Jamaa ulipotea sana
 
Mbona kama anajitetea mapema? Huenda kagundua amechapiwa mtoto sio wake. Sisi tunasubiri tu tuone peeeee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom