Recent content by RUBYA 455

  1. R

    Nilikuwa naomba kufahamishwa Jambo moja kuhusu recategorization

    Nashukuru Sana wadau Kwa majibu yenu mazuri . Mbarikiwe.
  2. R

    Nilikuwa naomba kufahamishwa Jambo moja kuhusu recategorization

    Asante Kwa ushauri wako Kaka. Kwa hiyo kumbe ni lazima iwe mwaka ujao wa fedha na siyo mwaka huu Kwa kuwa ni lazima uwekwe kwenye ikama. Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
  3. R

    Nilikuwa naomba kufahamishwa Jambo moja kuhusu recategorization

    Na kama unaona huna jibu ungekaa kimya pia. Huo ndiyo ustaarabu Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
  4. R

    Nilikuwa naomba kufahamishwa Jambo moja kuhusu recategorization

    Mkuu hebu rudia kusoma upya,, usikurupuke. Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
  5. R

    Nilikuwa naomba kufahamishwa Jambo moja kuhusu recategorization

    Mkuu ungetoa ushauri bila kutoa maneno ya kuudhi ungepungukiwa nini?? Any way nashukuru Kwa ushauri wako. Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
  6. R

    Nilikuwa naomba kufahamishwa Jambo moja kuhusu recategorization

    Habari za muda huu wadau. Nilikuwa naomba kufahamishwa Jambo moja kuhusu recategorization Kwa mwenye uelewa na haya mambo. Mimi nimemaliza chuo mwaka Jana 2019 ,na mwaka huu 2020 mwezi February nilituma vyeti vyangu kwa mwajiri na kumuomba kuhusu kufanyiwa recategorization yaani kuhamishiwa...
  7. R

    Niulize chochote kuhusu injini za magari madogo na pickup zinazotumia Petroli

    Mkuu asante sana kwa darasa zuri.....mm nina gari aina ya vitz , mara nyingi huwa nikiendesha nasikia harufu ya mafuta ya petrol ndani ya gari. hii husababishwa na nini maana tanki la mafuta limefungwa vizuri halina shida ila harufu ya mafuta inaingia ndani.
  8. R

    Mshahara wa mwezi huu (Oktoba 2018) ushaingia?

    Mkuu hizi taarifa ni za uhakika?
  9. R

    Mshahara wa mwezi huu (Oktoba 2018) ushaingia?

    Mshahara vipi jamani? . Maana huku kwangu bila bila
  10. R

    Mshahara wa mwezi huu (Oktoba 2018) ushaingia?

    Wakuu vipi mshahara tayari? Tujuzane
  11. R

    Mshahara wa mwezi April umeshatoka?

    Kajifunze uandishi kwanza..,"tumefamu" ndio nini?
  12. R

    Mshahara wa mwezi April umeshatoka?

    Wadau habari za muda huu, Naomba mnijuze wadau mishahara ya mwezi April imeshatoka au bado. Kwa yoyote mwenye kujua anijuze.
  13. R

    Mfumo wa ulipaji mishahara waliza watumishi

    tum tumeshapoa mtumishi
Back
Top Bottom