Consultant
JF-Expert Member
- Jun 15, 2008
- 11,611
- 21,135
Sasa kama kwako haujauona na mimi nikakwambia nimeupata utapata relief gani? Vumilia mkuu. By Monday mchanamchana hivi unaweza kuuona kwa account. Life ya pay check to pay check ina changamoto kubwa.
