Jabman
JF-Expert Member
- Jul 27, 2016
- 1,005
- 1,339
Uko ukerewe
Lolote ila kuna watu wameenda wakaahidiwa kupewa vibali hivyo taarifa rasmi hazipotupatie
Kiukweli ni kwamba unafuta taratibu kama zilivokuwa mwanzo, wilayani kwako, pia kama umeweza na wilaya unayotaka kwenda,
Ms yoga mbona umepotea na hujibu pm zanguUsijali!!
Wow sorry dear ngoja niziangalie; nikujibuMs yoga mbona umepotea na hujibu pm zangu
Wow sorry dear ngoja niziangalie; nikujibu[/QUOT
hata mimi mis yoga uliniahidi lakini kimyaWow sorry dear ngoja niziangalie; nikujibu
Chanzo cha habari?Baada ya kusubiri uhamisho kwa muda mrefu sana. Zingatia maelezo yafutayo
1, wale waliomba uhamisho kabla ya uhakiki kuanza wanatakiwa kuanza upya kupitisha barua za maombi yao kwa waajiri wao.
2. Hakuna barua inayofanyiwa kazi iliyotumwa kabla ya uhakiki, zote hazitafanyiwa kazi.
3. Wanaofanya michakato ya kuhama waendelee tu maana uhakiki ndo unaishia
4. Barua zikisainiwa na katibu tawala mkoa unatakiwa mwombaji kutuma kwa njia ya EMS, REGISTER AU UPELEKE MWENYEWE TAMISEMI
Wenye michakato harakati njema,