Bonde la Baraka
JF-Expert Member
- Sep 22, 2016
- 4,580
- 7,955
Acha roho ya wivu ndugu.
Wivu huua mapema na kumfanya mtu asiwe na furaha endelevu.
Kama kuajiriwa hupendi kwanini uje udandie mambo yasiyokuhusu?
Mimi mbona nimeajiriwa, nimelima na nimefungua duka.
Kuwa mtumishi si kwamba hujitambui.
Kwa Africa kuwa civil servant ni bahati.

Hivi mtu mwenye akili timamu unakaaje kusubiri mtu mwingine aumize kichwa akutafutie wewe pesa halafu akupe? Ndio maana yake, yaan wewe uamke, uoge, uvae, upande dalaldala, ufike kwenye ki- work desk chako ukae urelax tu, halafu mtu mwingine ndio akae anaumiza kichwa jinsi pesa ya kukulipa mwisho wa mwezi inatoka wapi, biashara iwe nzuri au iwe mbaya wewe hujali, mwisho wa mwezi we unakinga tu kama goli kipa. Fanyeni kazi, acheni uvivu (wa kufikiri), maana hamuumizi kabisa kichwa..!