ziloi
JF-Expert Member
- Apr 15, 2018
- 757
- 1,065
Hahahaa! aisee nmecheka sana. kwamba mwanaeJF usiumize kichwa mkuu ukute aliekwambua Hivyo ni mwanao anasubiri upate huo mshahara umpe Ada ya shulee
Hahahaa! aisee nmecheka sana. kwamba mwanaeJF usiumize kichwa mkuu ukute aliekwambua Hivyo ni mwanao anasubiri upate huo mshahara umpe Ada ya shulee
Kwani unajua walipokea lini mshahara wa mwezi wa kumi??..huoni kuwa mwezi pia umekamilika kwa upande wao??Kata tarehe 23 unalalamika hivi, mngefanya kazi kampuni binafsi sijui ingekuwaje.
Kampuni binafsi mshahara unatoka siku ya mwisho ya mwezi na siyo karibu na mwisho wa mwezi.
ukipata jibu nitagWakuu vipi mshahara tayari? Tujuzane
Wakuu vipi mshahara tayari? Tujuzane
Niko ulinzi NMB hapa naona walimu wanapigana vikumbo hapa ili wawahi usafiri wa kwenda bushMshahara,tayari au bado wakuu?Mwenye uhakika atujuze!
Angalia sim BANKMshahara,tayari au bado wakuu?Mwenye uhakika atujuze!
Mkuu unawezaje ku access salary slip online, msaada tafadhaliSalary slip za mwezi November ziko tayari na zimetoka(online) japo mshahara sijui kama tayari umetoka
Kwani mwisho Wa mwezi na karibu na mwisho Wa mwezi uwiano si ni ule ule,au mwisho Wa mwezi ni zaidi ya siku 31 mkuuKata tarehe 23 unalalamika hivi, mngefanya kazi kampuni binafsi sijui ingekuwaje.
Kampuni binafsi mshahara unatoka siku ya mwisho ya mwezi na siyo karibu na mwisho wa mwezi.
Kabisa mkuuKuna watu ni washamba sana na wapuuzi kiwango cha hali ya juu, wanajifanya wanapesa, wanajitia ujuaji, wanajitia wamewekeza sana,mara nyingi huwa nashangaa MTU anapoulizia suala la mshahara watu huleta hoja za kishenzi eti....oh..mara kuuliza mshahara ni umaskin,,,.mara ni kutowekeza....mara sisi tunawaza mambo makubwa ya nchi...upuuzi mtupu....hivi MTU amejiriwa na anafanya kazi ya kulipwa mshahara kwanini asiulizie mshahara wake kama ameona kufanya hivyo? Kuuliza haijalishi anakipato cha ziada au hana mshara kama amesha ufanyia kazi ni haki yake kuuliza mshahara wake kama imemlazimu kufanya hivyo acheni kujitia viherere ili tuwaone mnapesa.....hapa JF hatukujui kujitia we tajiri huna haja ya kuuliza mshahara ni kujilisha upepo tuu....hakuna anayejua maisha ya mwingie...
Hivi mtu mwenye akili timamu unakaaje kusubiri mtu mwingine aumize kichwa akutafutie wewe pesa halafu akupe? Ndio maana yake, yaan wewe uamke, uoge, uvae, upande dalaldala, ufike kwenye ki- work desk chako ukae urelax tu, halafu mtu mwingine ndio akae anaumiza kichwa jinsi pesa ya kukulipa mwisho wa mwezi inatoka wapi, biashara iwe nzuri au iwe mbaya wewe hujali, mwisho wa mwezi we unakinga tu kama goli kipa. Fanyeni kazi, acheni uvivu (wa kufikiri), maana hamuumizi kabisa kichwa..!Mwenye taarifa pleaz naomba anijuze, coz mpaka mda huu cjapata notification yeyote ya muamala kutoka NMB.
Acha kashfa za kipumbavu.Watu wamefanya kazi wanastahili kuulizana juu ya Jasho lao.Sio lazima kila kitu ujifanye mjuaji.Otherwise utakuwa POPOMA ULIYETUKUKA.BE WISE YOUNG BOY!Hivi mtu mwenye akili timamu unakaaje kusubiri mtu mwingine aumize kichwa akutafutie wewe pesa halafu akupe? Ndio maana yake, yaan wewe uamke, uoge, uvae, upande dalaldala, ufike kwenye ki- work desk chako ukae urelax tu, halafu mtu mwingine ndio akae anaumiza kichwa jinsi pesa ya kukulipa mwisho wa mwezi inatoka wapi, biashara iwe nzuri au iwe mbaya wewe hujali, mwisho wa mwezi we unakinga tu kama goli kipa. Fanyeni kazi, acheni uvivu (wa kufikiri), maana hamuumizi kabisa kichwa..!
Notification huwa zinakuja usiku sana,usipotoka leo hakyamama siendi kazini kesho!