Recent content by router

  1. R

    JamiiForums Tanzania Nasa artemis 1: Kesho kuanza safari ya kuelekea katika mwezi

    Nasubiri Link.
  2. R

    JamiiForums Tanzania Ni aibu gani uliwahi pata na hutokuja kuisahau?

    Mikanda ya kufunga huku umebana tumbo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] umenikumbusha mbali we jamaa..
  3. R

    JamiiForums Tanzania Putin asaini waraka wa kuamuru Majeshi ya Urusi kuingia Ukraine kulinda amani majimboni

    Hapana.. siku hizi wanasema ,Acha inyeshe ijulikane panapo vuja na ukubwa wa tundu..
  4. R

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kuhusu Tractors zilizotumila Afrika Kusiniin South Africa

    Pia ni Muhimu kujua hizo tractor unanunua kwa ajili ya matumizi ya kilimo au vinginevyo., Maana hizo tractor ni Kubwa sana Kama ni kwaajili ya kilimo tu..na uendeshaji wake ni wa gharama.. Labda uangalie ndogo zake Kama New Holland 75 , Mahindra nk.. Sent from my CPH2083 using JamiiForums...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Mara: Polisi yawashikilia Wafuasi wa CHADEMA Waliokuwa wanafanya Usafi kabla ya Kongamano la Katiba

    Kazi mnayo Sent from my CPH2083 using JamiiForums mobile app
  6. R

    JamiiForums Tanzania Aladin na taa ya ajabu

    Mwl Nswima! Ilikua ni shule gani mkuu, kama hautajali?
  7. R

    JamiiForums Tanzania Utumiaji wa simu kwa muda mrefu

    Kweli kabisa
  8. R

    JamiiForums Tanzania Yamkini hali si shwari Pemba, Askofu asema nyumba zapigwa 'X'

    Hii ni ishara mbaya!!
  9. R

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mr. Much know na Kachero waamsha wenge upinzani: Vurugu zimeanza tayari

    Eti "Mpeperusha fulagi" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  10. R

    JamiiForums Tanzania Mdogo wa mke wangu kamleta mwanaye kuishi kwangu ila sipo tayari kubeba lawama baadaye. Nifanye nini kuepuka hili?

    Huo ni mtazamo tu. Mtu anaweza kubadlika akiamua usione shida kumuelekeza..
  11. R

    JamiiForums Tanzania Mdogo wa mke wangu kamleta mwanaye kuishi kwangu ila sipo tayari kubeba lawama baadaye. Nifanye nini kuepuka hili?

    Sasa hao watabadikaje kama hawatakutana na watu wastaarab kama ninyi?!! Ukiona unaweza changia mabadiliko ya mtu in +ve way, fanya..usimseme tu..huenda hata wewe kuna watu wana kushangaa lyf style yako wanayaona ya hovyo pia.
  12. R

    JamiiForums Tanzania Mdogo wa mke wangu kamleta mwanaye kuishi kwangu ila sipo tayari kubeba lawama baadaye. Nifanye nini kuepuka hili?

    Kiongozi pole..tatizo hasa hapo ni utundu wa huyo mtoto au wewe hutaki kulea mtoto wa mtu? Ni kwa nini hakai na baba ake? Huenda kuna sababu za msingi... Vyovyote ilivo huyo dogo haypo hapo kwa bahati mbaya. Haya maisha mzee yana siri sana. Mara nyingi mambo huwa yapo kinyume kabisa na...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Bado natafuta mantiki ya kujenga hili Daraja la Kigongo - Busisi kwa Tshs. Bilioni 700

    Bwana G, wewe ni mkazi wa maeneo ya ukanda huo linapojengwa? Tuanzie hapo.. kama sivyo, basi fanya utafiti kidogo tu utajua hujui ulichoandika.. Hoja ya gharama na mapendekezo yako, hayana mashiko..hebu focus kidogo baada ya kutafiti, utapongeza kinachofanyika. Maana ni namna bora ya kuboresha...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Rais ajizuie kutamka baadhi ya mambo hadharani

    Hivi ni kweli Mh Rais hajui analolifanya ila wewe ndio unajua kwelii?!!!! Au wewe unamtazamo ambao unataka yeye aufuate? Shauri kiungwana .. Yule ni Rais anajua nini anafanya, wapi na kwanini. Alaf hata kama humpendi, yule anaweza kua babaako, so kua na Adabu
  15. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya yasalimu amri kwa Tanzania, yaingiza Tanzania katika orodha ya nchi zinazoruhusiwa kuingia Kenya bila masharti yoyote

    Hapa kuna kitu zaidi ya covid.. why leo waorodheshe?!! Hawa huenda kuna mkakati maalum wanaoupanga juu yetu.. Ila sasa tuna serikali MAKINI sana INAYOJUA.. ha ha haaa!! Wawakazie kwanza uchaguzi upite.
Back
Top Bottom