Recent content by Rosicky

  1. Rosicky

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Kama kuna kosa nililofanya ni kushabikia arsenal ukifikiri sana utakubaliana na mimi arsenal sio timu inayotaka ubingwa Haikui katika kufanya maamuzi
  2. Rosicky

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kiapo cha damu nlichokula na boyfriend wangu kinanitafuna aiseee

    Usipuuze mtafute mvunje thats is serious trouble ukishindwa nenda kwa mtumishi wa Mungu yoyote atakusaidia
  3. Rosicky

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    nani tena kaka timu yetu ina mentality ya kitoto kocha ana hype za kijinga kuna ulazima gani wa kai kuaanza kila game kulikuwa na ulazima wa joginho kuanza leo kulikuwa na ulazima wa partey kuanzia full back Arsenal players na kocha wetu hatuna maturity hasa kwenye nyakati za muhimu katika ligi...
  4. Rosicky

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Aisee bora ulale tu
  5. Rosicky

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Is odegard ready or ni panic tu Am so scared kwa hilo
  6. Rosicky

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    noma sana hio story
  7. Rosicky

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Do you believe tunaweza shinda epl na striking force ya kai
  8. Rosicky

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Unafikiri tunaweza kuchallenge ubingwa tukiwa na mchezaji kama Kai ambaye anaanza karibia kila mechi na mchango wake ni debatable everyday?
  9. Rosicky

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Is effective ist worth?? Mimi sizungumzii mechi ya leo najaribu kuangalia overall yake since ameingia gunners
  10. Rosicky

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Guys with humble voice leo naomba mtu anieleweshe Kai Havertz anaisadiaje timu yetu, what his impact to our final third or midfield?? Binafsi sioni tukichukua makombe kama tunawapa nafasi wachezaji dizaini hii.
  11. Rosicky

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    How brother
  12. Rosicky

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    sasa bro unashauri story ya 2023 na leo ni 2024 itasaidia nini??
  13. Rosicky

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Aloooo mpira mnaangaliaje ninyi mbona mm sioni chochote kwa kai hata dribble tu inamshinda
  14. Rosicky

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    toney amesepa kwa 40m what does that sound to you bro??
  15. Rosicky

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    kwa io unataka kuniambi ST tunasimama na Kai
Back
Top Bottom