Recent content by Rosenchold

  1. Rosenchold

    Benki ya Equity kuweni makini, ATM hazitoshi

    Hi! kwa wana Jf wote, I hope mnaendelea vyema kabisa. Kwa wanaopitia mikikimikiki na vigingi tuzidishe duha M/Mungu atusaidie. Tusichoshane niende straight kwenye heading ya hapo juu. Benki ya Equity licha yakiwa na huduma nzuri lakini kuna mambo wanafeli mno. Imagine Mbeya nzima wana sehemu...
  2. Rosenchold

    Quotation yakusisimua filamu ya Sarafina

    Bonge la muvi aisee 🤔🤔🤔
  3. Rosenchold

    Kuanzia Jumatatu, menu za simBanking zitaanza kutozwa

    It is the same way of re-writing super exploitation. Labda hela za sensa hawana 😂😂😂
  4. Rosenchold

    FL Studio 20.7 Vibey n Cool Beat Making

    Kichenza bwana Chuki_beatz nilimfuatilia video yake moja ya ku 'record' vocal kwenye Fl aisee yupo na mambo mengi mno hataki kutoa details complete sijui ile video aliitoa akiwa na hype maana alikuwa anakenua kuonesha golden slug tu 😹😹😹😹. By the way he is good
  5. Rosenchold

    FL Studio 20.7 Vibey n Cool Beat Making

    mkorea mbaya zaidi unapiga piano unapata melody kali sasa kui add kwenye playlist mambo tayar sijui uchawi gani unatokea unavyoanza ku add vitu vingine unaweza kukaa masaa 4
  6. Rosenchold

    FL Studio 20.7 Vibey n Cool Beat Making

    Pablo Blanco mambo ya music theory mimi kwa mara ya kwanza niliyashuhudia kwenye BusyWorksBeats, lakini contents zake nyingi ni premium. Nakumbuka ni site moja ilikuwa ni free sema terminologies zipo zakutosha ma rythm, melody ,key, note, half step ,whole step, plus whole step. Mambo ya major...
  7. Rosenchold

    FL Studio 20.7 Vibey n Cool Beat Making

    Kichenza mi natumia speaker ndogo za Kodtek au headphones za weile, but beat kwa subwoofer ina sound good kusikiliza uki plug out na kuisikia hivi hivi plain inakuwa ya ovyo mno 😹😹😹😹😹. By the way thanks for your advice
  8. Rosenchold

    The Tomorrow War ni Time Travelling theory?

    Kuna moja ya Korea inaitwa The Signal
  9. Rosenchold

    FL Studio 20.7 Vibey n Cool Beat Making

    Citizen B unaweza uka recommend channel yako pendwa ya Tutorial kama hautojali?
  10. Rosenchold

    FL Studio 20.7 Vibey n Cool Beat Making

    Nawapa hi! members wote wa Jf hasa wana "Entertainment", matumaini yangu muwazima wa afya kabisa kwa wale waliokumbwa na matatizo hapa karibuni hasa hasa moto wa eneo la Kariakoo na matatizo mengine nawaombea kwa m/Mungu awasimamishe tena. Naomba niende kwenye hoja moja kwa moja, kwa hivi...
  11. Rosenchold

    Taja mtaa/Kijiji unachopatikana sana

    Ndege JOHN kwa siku unaandika thread ngapi?
  12. Rosenchold

    Aina za ujasiriamali zinazoweza kumtoa kijana kimaisha

    Livingson1 nilikuwa naomba kama hautojali unieleze utaratibu wa kuwapa dawa/chanjo na vitamins kwa nguruwe
  13. Rosenchold

    Ni kwanini Wanawake wanaofanya biashara ya kujiuza hawana maendeleo?

    Ni ngumu kujua hali ya mtu kiuchumi kwa kuambiwa!
  14. Rosenchold

    Show your hand writing (Mwandiko)

    Hiyo way back Form 6 😻😻
  15. Rosenchold

    Hivi ingekuaje kama Wilaya au Mikoa ingepewa uwezo wa kusaka wawekezaji toka nje?

    Kuna baadhi ya mikoa ingepata nguvu kubwa kiuchumi na kuwa na ushawishi kwenye nchi. Hili suala ni jambo la muda tu kwani ugomvi ungekuwa nje nje, unaonewa na Mr.Flani kwakuwa katokea kwenye royal family yaani wengine wangesiginiwa ardhini
Back
Top Bottom