Taja mtaa/Kijiji unachopatikana sana

Taja mtaa/Kijiji unachopatikana sana

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
24,812
Reaction score
60,672
Lengo Ni ili umpate jirani wako mjadili matatizo ya maeneo ya kwenu au kujuzana machimbo au matukio na maafa ya huko kwenu.
Naanza Mimi kwa sasa naishi mtaa wa mwenge mkoani singida.
Karibuni msiogope
 
Back
Top Bottom