Recent content by Rosemarym Mwakitwange

  1. R

    Mjane aliyemlilia Rais Magufuli aangukia pua tena kortini

    Sio Kila siku Mwenye kulalamika ndio mwenye haki hili swala la mirathi limekua topical sasa, kuna wajane feki kwa sasa wengi tu wanapokimbiiia kuzaa na waume wa watu, wengi wao ni wanawake ambao wala sio umri wa hao wazee, wanakuja na malengo ya biashara na uharibifu, wanapopata upenyo wanasahau...
  2. R

    TCRA kwanini hamuwachukulii Tigo hatua?

    Kuna Shida Kubwa ya abuse ya watumiaji wa Mitandao Na hawa watoe huduma siioni wakichukuliwa hatua yoyote Na TCRA Kwa nini? Jamani haya mashirika ya napokuja Tz yanafanywa yanavyotaka tofauti Na wanavyofanya nchi nyingine. Kwa mfano, leo ni siku ya Tatu Wakati wowote Simu zinazima, huwezi...
  3. R

    Waziri Ummy Mwalimu: Marufuku RC, DC kuwakamata na kuwasumbua madaktari

    Mh. Waziri I salute you! ni jambo la kushangaza sana huyo waziri wao Simbachawene ( i hope I am correct) anakaaje kimya huku akiangalia how viongozi wa kuteuliwa, wakiingilia sekta ambayo kwanza, ina akili kuliko wao wote, ina umuhimu kuliko wao wote, ina heshima kuliko wao wote, imesoma kuliko...
  4. R

    Natafuta shule ya kujitolea kufundisha Commerce & B/keeping

    tuwasiliane EABMTI imefungua kituo cha Mafunzo ya masomo ya Biashara Tegeta Masaiti, pia tunatoa mafunzo ya ATe na procurment Basic na foundaiton levels, na mafunzo ya ECA kwa form five. Uandikishaji unaendelea tuwasiliane, tutakua na orientation kwa walimu next week. piga simu kwa mhusika 0622...
  5. R

    Je umefeli form 4 na hujui la kufanya?

    Ipo karibu Na Bahari beach zoo ama Eneo la ugogoni, Kama unatokea Tegeta Shula Kituo cha Tegeta namanga Galaxy fuata hiyo njia inayiendeleainayoendelea makaburininutaona Kibao chetu. Kama unapiteza njia ya unanijazia basi India Kijiji cha Kondo fuata makaburininutaona endelea mbele ukiangakia...
  6. R

    Akasomee nini kizuri kwa ngazi ya cheti?

    Asiende kwenye Ualimu maana hana uwezo, tunazidi kudidimiza elimu yetu kwa kuwapeleka waliofeli kuwa walimu wa watoto wetu. Anaweza kufanya yoyote kati ya hayo masomo yanayotolewa kwenye vyuo binafsi kikiwemo kituo chetu za EABMTI ambacho kwa mwaka huu kimefungua tawi tegeta, see attachment
  7. R

    Jenerali Ulimwengu: Tumerudi nyuma miaka 50, je tumekuwa kama mke wa Lut?

    Mwenyekiti wangu Jenerali, you are extra ordinary, natamani waandishi wange follow it with comments from hale wazee walikua Hapo mbele juu ya hiyo statement ya mwaka mpya.
  8. R

    Je umefeli form 4 na hujui la kufanya?

    Bado kuna wanafunzi wengi wanafeli mitihani ya kidato cha 4 na cha 6. Wengine walishafeli zamani wakarudia mitihani, na bado hawakupata alama, sasa hawajui cha kufanya. Kwa bahati mbaya wengi wao hata nyumbani wameonekana magalasa, wengi wanalazimishwa kwenda kusomea ualimu, ama computers...
  9. R

    Sakata la ruzuku ya CUF: Kambaya na Mtatiro ndani ya Star tv

    Hapa ninachokiona wazi ni kuwa, mgogoro mzima wa CUF ni kati ya CUF bara na CUF Zanzibar. Maana ni wazi kuwa hawa vijana wanatumika. Ni wazi kuwa vita ni kati ya Prof. Lipumba na Maalimu Seif Hamad, na sioni kama kuna mshindi katika vita hii, ila kuna hasara kubwa kwa chama cha CUF...
  10. R

    Sakata la ruzuku ya CUF: Kambaya na Mtatiro ndani ya Star tv

    siyo level yako, na haki yako kunitukana kwa kuwa hiyo ndio level yako, ndio maana tuko tofauti katika kila hali, sitakutukana kwa kuwa sio asili yangu lakini najua yuko atakayekuadhibu kwa hili, take note ,
  11. R

    Sakata la ruzuku ya CUF: Kambaya na Mtatiro ndani ya Star tv

    Kam Kambaya is bigger than huyo host, ana m manage, umeona amemtishia kuwa maoni anayosoma ni ya chadema, na mara moja huyo mtangazaji kaanza kusoma huja za kumponda Mtatiro, sasa anoanekana kumbana mtatiro ku fit into Kambayas wishes,
  12. R

    Kipindi cha madawa ya kulevya cha star tv kinakatisha tamaa

    mimi siko hivyo ndugu yangu, unaujua ubora wangu, hili ndilo tatizo la watanzania waliokataa kujifunza, hatuko level moja ndugu yangu, hii ni montesory kwangu sina wivu na wewe unanijua na watanzania wananijua, ungetaka kuongea ukweli ungeanza na utambulisho, angalia profile yangu kwenye kuwa...
  13. R

    Sakata la ruzuku ya CUF: Kambaya na Mtatiro ndani ya Star tv

    kashindwa kwa sababu anonekana kama ana lengo la tofauti, najiuliza inahusu nini kusema eti mambo haya mbona hayasikiki CCM, hivi yeye anaijua CCM kuliko mwenyekiti wao aliyesema there is too much rushwa in his party? Hapo ameshindwa kumjibu Mtatiro wameualika Kambaya kama nani wakati...
  14. R

    Sakata la ruzuku ya CUF: Kambaya na Mtatiro ndani ya Star tv

    Mtangazaji hana uzoefu na Mtatiro, he will never stop talking matokeo yake mjadala umegeuka kuwa mkutano wa kisiasa, shida kwa Star TV
  15. R

    Sakata la ruzuku ya CUF: Kambaya na Mtatiro ndani ya Star tv

    Kambaya yuko vizuri na Mtatiro need to be very careful if he wants his opinion to be heard. Tumeshaona tayari Kambaya kesha take over nafasi ya mtangazaji kwa kumlazimisha kumleta Mtatiro. Mtariro kuwa kwenye simu kuna mnyima nafasi ya kushiriki kikamilifu, Huwezi kutumia simu na panelists labda...
Back
Top Bottom