Akasomee nini kizuri kwa ngazi ya cheti?

omary khamis

JF-Expert Member
Sep 29, 2016
402
77
Habar wana jf kuna dogo kanitumia tokeo lake ana D nne za civcs,geography,engl,bios na C ya kiswas anataka nimshaur course ya kwenda kusomea kwa ngaz ya chet
 
Huyu kafaulu Kusomea Ualimu.
Asiende kwenye Ualimu maana hana uwezo, tunazidi kudidimiza elimu yetu kwa kuwapeleka waliofeli kuwa walimu wa watoto wetu. Anaweza kufanya yoyote kati ya hayo masomo yanayotolewa kwenye vyuo binafsi kikiwemo kituo chetu za EABMTI ambacho kwa mwaka huu kimefungua tawi tegeta, see attachment
 
Attachments

  • Tegeta Education center flier.jpg
    Tegeta Education center flier.jpg
    118.2 KB · Views: 66
Asiende kwenye Ualimu maana hana uwezo, tunazidi kudidimiza elimu yetu kwa kuwapeleka waliofeli kuwa walimu wa watoto wetu. Anaweza kufanya yoyote kati ya hayo masomo yanayotolewa kwenye vyuo binafsi kikiwemo kituo chetu za EABMTI ambacho kwa mwaka huu kimefungua tawi tegeta, see attachment
nacte mwaka huu,wa masomo wamesema hakuna udahili wa community health pamoja na education.
 
Sio mwaka huu Bali ni kwa muhula Wa intake ya march/April. Plz usipotoshe uma . kwa mwaka 2017/18 bado muda wake
ok nadhani nimekosea kweli mkuu,but kwa kufikiria mbali zaidi hata iyo intake unayosema wanaweza wasichukue pia....sor for being wrong.
uma=umma
 
Au nursing, ikiwezekana anitafute arudie mitihani mwaka mmoja kuna centre maarufu tupo ARUSHA, uhakika atatoboa kusaka kredit zilizobaki
 
Wadau dogo langu yeye kapata

Biology C, English C, Chemistry D, Geography D, Hesabu na Physics kapata F na hizo zingine zilizobaki kapata D ,,
Ushauri wadau anaweza somea nn...????
 
Habar wana jf kuna dogo kanitumia tokeo lake ana D nne za civcs,geography,engl,bios na C ya kiswas anataka nimshaur course ya kwenda kusomea kwa ngaz ya chet

Akasomee Accountancy (uhasibu) CBE,IFM etc Itamsaidia. Accountancy ina ajira nyingi kuliko zingine. Option ya pili lakini kama atafanya akarudia mitihani. Nursing ni deal ajira nje nje. Asewaze ualimu labda ualimu wa sayansi japo safari yake itakuwa ndefu kidogo. Accountancy ni shortcut baada ya miezi 6 anapata cheti chake na baadae diploma nk.
 
Hata vya serikali pia vipo, but anatakiwa kuwa makini soon watakapo fungua usajiri nafikir mwez wa tatu, mwez wa sita majibu wanatoa mwez wa saba had wa nane ndo muda wa chuo
 
Habar wana jf kuna dogo kanitumia tokeo lake ana D nne za civcs,geography,engl,bios na C ya kiswas anataka nimshaur course ya kwenda kusomea kwa ngaz ya chet
Kama ana pass kuanzia nne anaweza kusoma course yoyote kwenye vyuo vya biashara ili mradi isiwe ya pass ya somo la Dini
 
Back
Top Bottom