Kipindi cha madawa ya kulevya cha star tv kinakatisha tamaa

Sep 10, 2016
63
170
This is everything not to do kwenye programming. Kila kitu about hiki kipindi ni Kibaya. Nilivutiwa kukiangalia kutokana na umuhimu wa hii topic. Nashauri watangazaji wawe wana soma hizo topic, research, kabla hawajakimbilia kuuza sura.

Huyu mtangazaji kwanza kajaza screen nzima yeye mwenyewe, haonekani kuwa na script kichwani na maswali yake yameishia kwenye upeo wake juu ya topic ambao kwa bahati mbaya unaoonekana ni mdogo sana. Yuko hapa akijifunza toka kwa guest zake, anaonekana hakuwa hata na muda wa kupata brief kabla ya topic, very ugly program!

Ni muda huu tu nimetoka kuangalia the same topic kwenye Clouds ambapo mtangazaji ni mwanaharakati wa dawa za kulevya, Kalapina. The difference is like God and the world. Kalapina had sharp questions, maswali haswa. Huyu mama mtu mzima anatafuta opinion ya guest wake, hana data hata moja na yuko totally vague.

As a media expert nawashukuru star tv. Kama wana interest na hiyo tv wafunge hicho kipindi mara moja. Na Kama hii Ndio local content basi tuna kazi kubwa. Dada Pills hututendei haki watazamaji wa star tv, pale mwandishi anapokuwa msemaji sawa na guests kwenye kipindi hicho. Kipindi kinaitwa addiction na sasa wamemtuma mwandishi comedian kutaka kujua awareness ya jamii juu ya kuacha addiction. Kipindi mwandishi anasema niko barabarani kama kawaida yangu.

Ngoja nikishindwa hapa I should do this for money
 
wewe ni hater....badala ya kuwaambia waboreshe unasema wafunge,Pills inaonekana kakupiga bao cheki na fursa nyingine mkuu
 
mimi siko hivyo ndugu yangu, unaujua ubora wangu, hili ndilo tatizo la watanzania waliokataa kujifunza, hatuko level moja ndugu yangu, hii ni montesory kwangu sina wivu na wewe unanijua na watanzania wananijua, ungetaka kuongea ukweli ungeanza na utambulisho, angalia profile yangu kwenye kuwa support vijana ndio usema, simuonei wivu nataka arudi kwenye drawing table ndio maana nimemtajia pa kuanzia, kalapina na kipindi cha Hekaheka, nauhakika hata wewe hujaangalia hicho kipindi, no research no right to speak
wewe ni hater....badala ya kuwaambia waboreshe unasema wafunge,Pills inaonekana kakupiga bao cheki na fursa nyingine mkuu
i
 
Back
Top Bottom