Jenerali Ulimwengu: Tumerudi nyuma miaka 50, je tumekuwa kama mke wa Lut?

Mag3

Platinum Member
May 31, 2008
13,267
23,203

Mnasemaje kuhusu changamoto aliyotoa Jenerali Ulimwengu? Nawaona Benjamin William Mkapa (Rais Mstaafu) na Jaji Joseph Sinde Warioba (Waziri Mkuu Mstaafu) wamekaa wanamsikiliza, je unadhani wanakubaliana na maoni yanayotolewa?
 
cqxxkthwcaqon-z-jpg.388029

img_20160826_114200-jpg.388027
 
Mwanamayu, asante kwa picha lakini lengo lako ni nini kuweka hizo picha? Naomba nikukumbushe mojawapo ya maelekezo katika utumiaji wa JF, nanukuu;

Off-Topic Posts said:
If you have something to say but it really has nothing to do with the current thread you are in, please open a new thread for it. Otherwise it will just be deleted and won't solve anything at all."

Yawezekana lengo lako ni kuvuruga thread hii na kama ni hivyo nawaachia moderators kuchukua hatua yoyote watakayoona inafaa.
 
Oviazi hawajakubaliana nae wanamuona kama Mzee Fulani hivi mwenye frustration za muda mrefu baada ya kupokwa kokwa.
 
Mwanamayu, asante kwa picha lakini lengo lako ni nini kuweka hizo picha? Naomba nikukumbushe mojawapo ya maelekezo katika utumiaji wa JF, nanukuu;

Yawezekana lengo lako ni kuvuruga thread hii na kama ni hivyo nawaachia moderators kuchukua hatua yoyote watakayoona inafaa.

Pengine nia yake akumbusbe yaliyompata Jenerali mwaka jana katika hiyo ajali.
 
Mnasemaje kuhusu changamoto aliyotoa Jenerali Ulimwengu? Nawaona Benjamin William Mkapa (Rais Mstaafu) na Jaji Joseph Sinde Warioba (Waziri Mkuu Mstaafu) wamekaa wanamsikiliza, je unadhani wanakubaliana na maoni yanayotolewa?

Mwenyekiti wangu Jenerali, you are extra ordinary, natamani waandishi wange follow it with comments from hale wazee walikua Hapo mbele juu ya hiyo statement ya mwaka mpya.
 
Tunaenda huko kwa kasi Kubwa sana,maana hatuna hata Mahakama kwa sasa.Kesi zote za maana zimelala zimebaki kesi za Wapinzani. Zile Mahakama za Mafisadi zimekuwa kama hadithi za Juha Leo Mahakimu wanaaubiri kesi eti hakuna Watuhumiwa ni ajabu na kweli mlizianzisha za nini??Sifa zikizidi ndivyo inavyokuwa.
 
Huyu mzee kashajichokea aendelee kupata whisky zake British legion. ..kwishney
 
Mnasemaje kuhusu changamoto aliyotoa Jenerali Ulimwengu? Nawaona Benjamin William Mkapa (Rais Mstaafu) na Jaji Joseph Sinde Warioba (Waziri Mkuu Mstaafu) wamekaa wanamsikiliza, je unadhani wanakubaliana na maoni yanayotolewa?

Mwanamayu, asante kwa picha lakini lengo lako ni nini kuweka hizo picha? Naomba nikukumbushe mojawapo ya maelekezo katika utumiaji wa JF, nanukuu;

Yawezekana lengo lako ni kuvuruga thread hii na kama ni hivyo nawaachia moderators kuchukua hatua yoyote watakayoona inafaa.

Hapana mkuu hiyo ni kwata ya kimya kimya! Soma alichosema Lusajo11

Mag3, inaonekana story ya Mwanamayu ilikupita. Yuko na wewe kabisa kabisa.

[HASHTAG]#mag3[/HASHTAG] bado hajaielewa kwata ya kimya kimya

Asante kwa kutupatia pia upande wa pili wa majadiliano ya mkutano ule vinginevyo povu lingejaa humu

You have completely missed my point. Msikilize kwa makini alichoongea kabla ya kuanza kuongelea freedom of expression.

Back
Top Bottom