Recent content by Rosejoacks

  1. R

    JamiiForums Tanzania Hii tabia tuache jamani, 'ni kabila gani'?

    I feel offended!! Kwani wachaga wana nini
  2. R

    JamiiForums Tanzania Picha: Yericko Nyerere na muonekano wa kutinga na pensi katika kipindi cha Star Tv

    [emoji80][emoji23][emoji23][emoji23]
  3. R

    JamiiForums Tanzania Nimeamini mzungu huwa hakosei na kwa hili nawaunga mkono 100%

    Sasa hicho alichosema ni Common sense. Sijui kwa wengine ila kwangu mimi, nimekuwa nikipinga sana umiliki wa expensive valueless assets bila kuwa na assets zenye value. Kwa mfano watu flani kukopa nguo Za gharama kwa kila mdundiko ili hali hata pango la kuishi hawana. Kwa huyo mzungu sijui...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Mchepuko wa Kikorea umeng'ang'ana nirudi nao Tz

    Sasa wakati anafanya hivyo kwa nini huku mwambia ukweli kuhusu marital status yako. Hivi nyie wanaume mkipendwaga kwa dhati mnaona ni muvi au ????? Yani hapo umeshaharibu life la mdada wa wAtu na huyo mtoto atakaye zaliwa. Mini sina hata cha kukushauri kwa kweli You are in a deep mess Go for...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Kanikuta nafanyiwa massage kanifanyia fujo, ni uungwana kweli?

    Kama unapenda kufanyiwa massage. Jaribu kuplan Uweze kufanyiwa pamoja na mke wako. Kwenye vibanda vya massage therapist. Mara moja moja Kwa sababu kuna Imani imejengeka kwamba wafanya massage huchoropia waume za watu.'
  6. R

    JamiiForums Tanzania Nape: Wema ametupa heshima kubwa, tutamuweka kwenye rekodi zetu

    Babu Tale
  7. R

    JamiiForums Tanzania Nape: Wema ametupa heshima kubwa, tutamuweka kwenye rekodi zetu

    Hii kama zile app za kina KIM-K [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126] Ngoja nkacheck mahindi yangu shamba
  8. R

    JamiiForums Tanzania Lulu na Gigy Money ndani ya mtifuano

    Unauhakika na ulicho andika ? Personally, napenda Lulu's taste in Fashion. Huyo Giggy money hata kama ni umaskini sio kwa uvaaji wake.[emoji23][emoji23][emoji3]
  9. R

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe Leo atafikishwa mbele Ya kamati za maadili kujibu mashitaka yake

    Mbona hizi tuhuma hazina umaana. Ni upotezaji wa muda kwenye mambo yasiyo na uzito wowote. [emoji848][emoji849]
  10. R

    JamiiForums Tanzania Sukari sasa Tsh 6,000/- kwa kilo. Waziri Mkuu, zile tani ulizoagiza ziko wapi?

    Hivi sukari ni muhimu sana ?
  11. R

    JamiiForums Tanzania Diaspora tunadharaulika sana awamu hii

    WIVU WIVU WIVU ni kitu kibaya sana hasa miongoni mwa watanzania badala ya kushirikiana na kusaidiana watu wamekaa kuponda wenzao. Kwani mlio kua ndani ya nchi hamuwezi kuleta mabadiliko pia, au roho mbaya tu. Nchi hii itaendelea endapo tutacha uwivu , uvivu na uchoyo... Watu wa Diaspora...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Kaomba kuwa baba wa kijacho

    Mawasiliano ni kitu muhimu sana. Cha kujiuliza hapo .. Ni kama binti ataweza kuishi na jamaa aliyeomba udhamini kwa uaminifu. Na pia huyo jamaa anampenda huyo binti au yupo desperate ???
  13. R

    JamiiForums Tanzania Kuoa au kuolewa rangi ni muhimu kuzingatiwa

    Jamani waafrika tupende tujaribu kujikubali. Unakuta binti/ mwanaume wa kiafrika anambagua mwenzie eti kisa yupo very black. Huo ni ulimbikeni unaoturudusha nyuma.
  14. R

    JamiiForums Tanzania Tatizo la ngozi kujikunja

    Unahitaji botox injection Ambayo itasaidia kurudisha hali yako katika muoenekano wa kawaida.
  15. R

    JamiiForums Tanzania Huyu mwalimu ashitakiwe, adhabu hii kwa wanafunzi inadhalilisha utu wao

    Wewe kkimondoa Umesoma post yangu ukaielewa au shobo tu. Ndo maana wa tz wengi mnafeli badala ya kuchanganua akili kutatua tatizo mmekaa kujibu watu negatively.
Back
Top Bottom