Tatizo la ngozi kujikunja

wakusepa

Member
Jan 24, 2013
83
5
Habari wana jamii.

Nina tatizo limeanza kujitokeza miaka mitatu iliyopita na sasa naona linakuwa sugu. Ni kwamba paji langu la uso(kipumi) ngozi yake inasinyaa na kujikunja mfano wa mtu anayezeeka(age yangu ni 28).

Kiukweli sijawahi kumuona mtaalamu yeyote juu ya tatizo langu,lakini ninahitaji ushauri wenu kama linatibika ili nikapate tiba na mkinipa hata visabishi vya hali hii nipate kuepuka nitashukuru sana.

Nimeweka picha ya eneo lililoathirika.

Ahsanteni.

NDITA.jpg
 
Back
Top Bottom