Hii tabia tuache jamani, 'ni kabila gani'?

Hii tabia tuache jamani, 'ni kabila gani'?

Ila kabila halinaga uhusiano na tabia ya mtu lakini kwa wachagga ata mimi wameshanishindaga nimewaona kina wifi bhana
 
Mnachekesha kweli: ingekuwa wanawake wa Kilimanjaro wanaua wanaume zao wakishapata mafanikio basi wengi wangekuwa marehemu sasa akina Mkapa, Chenge, Wenje na wengineo. Kama ukiongelea makabila yenye wanawake wanaoua wanaume wakishapata mafanikio au watoto wao wakiwa wakubwa usiwaache WASUKUMA
Hawawezi kuwaua hao kwasababu itakuwa exposed sana na Taifa zima litajua, na isitoshe hao wana pesa isiyo na kikomo...kama wangejua kuwa hao wanaume wanaweza fulia muda wowote basi wangeshafanya yao.
 
Wachaga wakiolewa na kabila tofauti na wao huwa ni shida, walio wengi huwa wanamfanya mwanaumwe aonekane choo

You are very true!!
Pia ukioa mchaga lazima uwe na mchepuko, kwao "unyumba " ni kwa ajili ya kuongeza uzao na sio tendo la kuhimalisha mahusiano
 
Hiz ndoa zinasumbua sana watu kwa sasa, mmeamia kwenye makabila sasa,
mkimaliza wachaga,
tuje wahaya alafu
wanyakyusa wafate. . .

Haya makabila mengine wako vizuri sana kimapenzi, wengi wako hot. Wachaga wazuri machoni, wengi wa baridi
 
duuh huu ukabila sasa ni hatari. hata mm mchumba angu ni Mpare, anaogopa kukataliwa kwetu Mbeya..
 
njoo huku kenya muowe wa Kamba ndio mtajua Aftermoney.hiyo cha mdori tu ....
 
Mbona na mimi nataka kumtambulisha misschagga sasa..!
 
Kuna mtu gani hapendi pesa ? Ukweli ni kuwa pesa ndiyo kila kitu , suala la northerners kuwa money hustlers haufichiki.
Ukweli unatabia mbili: 1 unauma 2.Haufichiki

Hakuana aliyekamilika chini ya jua, kubalini mapungufu yenu kama ili kutafuta ufumbuzi!!!
 
Hili jambo lipo kwa muda mrefu wala tusimlaumu mleta mada
 
Back
Top Bottom