Recent content by rosatan

  1. R

    JamiiForums Tanzania JAMANI: Hivi Zitto Zuberi mwana wa Kabwe yuko wapi?

    Chukua like kwanza.,then watu wanashindwa kuelewa kulopoka na kutoa hoja.. huwezi kumlinganisha mnyika na Zitto..Zitto akisimama anatoa kitu chenye mashiko..
  2. R

    JamiiForums Tanzania Shule za VIPAJI maalum: Nini dhumuni lake hasa?

    Hata we nadhani ungetamani kua na cv yenye tabora girls ama kilakara bt mafuta yalikata So unaumia
  3. R

    JamiiForums Tanzania Kwa waliozaliwa tarehe hizi

    Duu km uchawi vile..ni kweli niko hivo.
  4. R

    JamiiForums Tanzania Shule za VIPAJI maalum: Nini dhumuni lake hasa?

    Duu...kweli we lengo lako ni kupotosha Kwa makusudi..mwl Nyerere kasoma pale na ilikua tayari ni special
  5. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maswali na ushauri kwa Malinzi

    Nmependa hii thread.ushauri wangu ni kuwa fanyeni kazi Kwa ushirikiano epukeni majungu yanayoenezwa juu yenu km la ukabila.nadhani umefafanua vema
  6. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Describe your lover (wife/husband) (boyfriend/girlfriend) only with movie titles

    Pursuit for happiness
  7. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukabila TFF: Jamal Malinzi jibu/fafanua hili kabla sumu haijaenea

    Well said
  8. R

    JamiiForums Tanzania Kipindi cha 'Wanawake Live' na madhara yake

    Inawezekana ikawa Sahihi usemavo lkn tuangalie pande zote mbili.nmemuelewa mtoa mada vzuri,ukitaka kujua asemalo ni kweli,linganusha Kipindi hicho na vipindi vyA dizaini hyo mfano njiapanda ya Dr Isack. Yule mtu hua anajtahidi sana kubalance story.hatoi story ama kumuhoji mtu km hajasikiza...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Kipindi cha 'Wanawake Live' na madhara yake

    Kipindi chake cha bongo movie kilikua eatv na co clouds
  10. R

    JamiiForums Tanzania Maskini Wambura...

    Duu umenena mkuu
  11. R

    JamiiForums Tanzania kwa waliosoma tabora boys, tabora girls, milambo na kazima

    Km kuna product ya warambo walovamia Warsaw ajitokeze jama.
  12. R

    JamiiForums Tanzania Zitto kumsaliti Wenje kwa kumwogopa Marsha; Unganisha dots

    Kwani Ye alipgiwa kampeni na nani kwetu kigoma?
  13. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini kifo cha michael scofied hakikuoneshwa??? Wala maziko yake katika prison break

    Ila ugonjwa wake ulitibiwa na The company..Kwa mkataba wa kua linc alejeshe sceylla.
  14. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini kifo cha michael scofied hakikuoneshwa??? Wala maziko yake katika prison break

    Ni Kweli kk ile series nakwambia watu waliangalia ama wanaangalia Kwa ushabiki ila hawaelewi kabisa..
Back
Top Bottom