excel
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 22,452
- 17,927
Simjui ndo nani tena mjengoni hapa?
Maaskaariiiiiiii heeeee?
Ndoaaaaaaaa za kikweli kweli au za uongo?
ndoa za ukweli mama!! ohooo!! na wanaume tulivyo wachache humu... ni bora uning'ang'anie uwe mke wa 8!
ni onyo tu.. ukigoma hupati mume asilani!!