Recent content by rosaltan

  1. R

    JamiiForums Tanzania Arusha wamvua nguo MIzengo Pinda!!

    Sio mara ya kwanza watanzania kuchezewa akili.na taratibu Kuna Cku wataweza kupambanua maswala yanayowagusa Kwa akili yao bila kuckiza upande unaohc unaonewa.mfano mzuri ni swala la mgomo wa madaktari;serikali iliwalaghai watanzania Kua madaktari wanagoma ili waongezewe mshahara kitu ambacho...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Clouds FM Michezo: Kiswahili- Kiingereza cha nini?

    Utakua Ww ndiye mwenye haraka coz umepagawa!!!
  3. R

    JamiiForums Tanzania Clouds FM Michezo: Kiswahili- Kiingereza cha nini?

    Hata Ww nmeona msamiati mpya wa Language Kwenye maandish yako.punguzeni chuki Jamani....ss we nå wao mmetofautiana nn
  4. R

    JamiiForums Tanzania Clouds FM Michezo: Kiswahili- Kiingereza cha nini?

    Mwambie huyo.yaani Kuna watu wana chuki hata hazina tija.
  5. R

    JamiiForums Tanzania Clouds FM Michezo: Kiswahili- Kiingereza cha nini?

    Pale chongo anapomcheka kengeza.
  6. R

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi Mkuu TFF - 27 Oktoba 2013: Jamal Malinzi Rais Mpya wa TFF!

    Nadhani Malinzi kapita maana naona fb anapongezwa.
  7. R

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi Mkuu TFF - 27 Oktoba 2013: Jamal Malinzi Rais Mpya wa TFF!

    Teh teh.
  8. R

    JamiiForums Tanzania Bongo movies...

    Hahaha!mbavu zangu jama
  9. R

    JamiiForums Tanzania Ninampenda sana lakini najilazimisha kumsahau

    Yaan bora labda ungesema mliachana Kwa kigezo cha Tofauti ya Dini Kweli ningeamin wampenda.ila Kwa kigezo hcho hzo ni tamaa zako za mwl ucmzngizie shetani Na ucdanganye Kua wampenda.
  10. R

    JamiiForums Tanzania Mistari kwenye hip hop ya Bongo ilitia fora

    Pesa Ndio ilimaliza ugomvi wa Rune na sugu..ROMA
  11. R

    JamiiForums Tanzania Ivona Kamuntu (Startv): CHADEMA Wameshajitoa Katika Muungano...!

    Well Said ...kwanza hata utangazaji wenyewe hawezi..akisoma habari anaboa.
  12. R

    JamiiForums Tanzania Ivona Kamuntu (Startv): CHADEMA Wameshajitoa Katika Muungano...!

    Very true.anaboa sana inakera mtangazaji anapofanya interview juu ya mada asiyo Kua nå uelewa nayo.hata akisoma habari cku hzi cangalii..
  13. R

    JamiiForums Tanzania Ipi ni bora zaidi kati ya Nokia Lumia 625 na HTC One

    HTC Nooma kk.jivutie Tech yao hutajutia.hata rumia Kuna app Wanatumia kutoka HTC inaitwa HTC hub.Kwa kifupi Kwa app za ukweli HTC wanatisha
  14. R

    JamiiForums Tanzania Miss World 2013 ni leo........Bali, Indonesia........

    So tu tamthilia kumbe hata huku wanaweza.waow..
Back
Top Bottom