blackgold engineer
Senior Member
- Sep 8, 2013
- 107
- 70
nawachukiaje watu wanakubali kuwa watumwa wa lugha za kigeni na kuona ndio fasheni.
Nalog off
Nalog off
nawachukiaje watu wanakubali kuwa watumwa wa lugha za kigeni na kuona ndio fasheni.
Nalog off
Kwa nini achanganye language wakati he knows kuwa most of his wasikilizaji hawako conversant na hiyo foreign language?
acheni kusikiliza mmelazimishwa
wewe mwenyewe umechanganya
Kwa nini achanganye language wakati he knows kuwa most of his wasikilizaji hawako conversant na hiyo foreign language?
bora ufanye hivyo.
Nalog off
Kwa nini achanganye language wakati he knows kuwa most of his wasikilizaji hawako conversant na hiyo foreign language?
nawachukiaje watu wanakubali kuwa watumwa wa lugha za kigeni na kuona ndio fasheni.
Nalog off
Nadhani utakuwa unajichukia hadi wewe mwenyewe
Hata Ww nmeona msamiati mpya wa Language Kwenye maandish yako.punguzeni chuki Jamani....ss we nå wao mmetofautiana nn
Ndio nini hapo kwenye nyekundu? Au una haraka sana ya kwenda wapi ilhali tupo humu humu kwenye jamvi.
Huyu jamaa ANAKERA mno, lakini mbona Wakenya wanajitahidi kuongea lugha moja tu wakati mmoja? Ni nadra mno kuwasikia wakichanganya lugha hizi mbili wakati mmoja. Huyu jamaa ni punguwani tuu maana hata maneno rahisi mno ya kiswahili na anayafahamu lakini yeye atalisema kwa kiingereza. Nahisi anajiona ni ufahari.Anayechanganya lugha ni Jeff.Yule ni mkenya