tindikalikali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 4,854
- 1,145
mbinu ya utajiri ni ubahili --sina uhakika ni nani nafikiri ni NICK WA PILI.
G-Nako huyo mkuu kwenye Mama Yeyo
mbinu ya utajiri ni ubahili --sina uhakika ni nani nafikiri ni NICK WA PILI.
"Dunia tambara bovu nalidekia kwa shida,najaribu kui'solve bila kutumia four figure". "Umasikini unanipodoa bila kutumia cosmetics,daily unanizodoa unanivuta kama magnetics".
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Wale wakongwe wenzangu watakubaliana nami kuwa Hip Hop ya Bongo haikuwa nyuma katika mistari makini ,majigambo na style za kutisha. Kwa sasa wapo vijana wanaoweza kuuendeleza Music huu hapa Bongo ila kuna vionjo vinakosekana haswa matambo ya kipindi kile.
Hebu tujikumbushe tambo za enzi zile sio mbaya pia ukaweka tambo za mistari ya kipindi hiki.
Prof Jay (Nigger jay)-wimbo wa Funga kazi(HBC)
''Kwa Jay mtapata maneno makali na mengi ya kashfa mfululizo,
Iwe ni onyo na funzo,
Kwa wanye kelele pasipo uwezo,
Wanatumia vigezo,
Unataka kurap pasipo na nyenzo,
Hayo ni mambo ya chezo,
Kutokataa maelekezo wakati huna uwezo''
Imam Abas -wimbo mitaa ya kati
''Niguse bahati mbaya ,nikuumize makusudi''
Mr. II-Sugu (II Proud)-wimbo mikononi mwa polisi
''Afande anataka kilo,
Mfukoni mimi na zero,
Nazidi kuwa mwenyeji ndani ya sero,''
Simple X -wimbo Nawakilisha
''Natikisa bongo visiwani mpaka bara,
Nimekuwa kinara ,
Kila kitengo mi nang'ara,''
Endelea....
Binafsi mistari yake inanivutia,wimbo mmoja anatoa 'multiple messages'.mistari ya hako kajamaa hainaga mantiki,inaele elea hewan!
walikuwa wanajiita Born Crew..nimeutafuta huo wimbo bila mafanikio
Jos wa Kigambonino!Kama Demu wako mfupi,
Watoe kasoro warefu!
Na huo wimbo wa Huyu Jamaa wamemshirikisha daz mwalimu jaribu hii link mkuu utaupata waptrick
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
usione tumepinda migongo ukadhani nivibiongo
sometimes ni ufipi wa milango, ngwair msela.
Jos wa Kigambonino!