Recent content by Ronaldinho

  1. R

    Wajasiriamali wa congo watengeneza smartphone na tablet

    Kama sikosei kuna yule jamaa wa nigeria aliyetoa tablets, zinaitwa Roku (mtanisahihisha jina), yeye ndo aweza kuwa wakwanza on tablets in Africa maana zipo in iperation for more than two years now
  2. R

    Tablets, smart phone and laptops

    mkuu hiyo namba yako haipatikani hewani
  3. R

    Anna Kilango achafua hali ya hewa kamati ya Miundombinu

    She is trying to be an opportunity with a street mentality
  4. R

    Mnaotoka Mtwara

    I have been to Mtwara Several times so i can tell how potential that town is!We only need some prudent investment minds to transform that town.
  5. R

    Hivi Kuna Haja Gani JK Kwenda Kuhudhuria Mkutano wa ILO wakati kuna Waziri wa Kazi

    No wonder anaonekana mchovu sana,maana hizo hours huko angani si mchezo
  6. R

    Mukama awakana akina Nnauye; Hakuna atakayeshughulikiwa ndani ya siku 90!

    Mkuu kimbunga umesikia vyema kabisa,hawa jamaa wanajiuliza ni nani amvishe paka kengele,yaani hawana ubavu wa kufanya wanayotaka jamii iamini
  7. R

    Pengine ulikua hujaiona ripoti hii

    Tuwekee report mkuu ili tuijadili
  8. R

    Kikwete alikataa wimbo teule wa EAC kwa kudai ni wa "kikristo mno"

    Its like am not getting you well,kwani tunipe ya Hiphop, Taarab, Jazz na nyinginezo zina uhusiano gani na Ukristo? Our Leaders are using so called udini to divide our nation,to diversify our thinking and loosing focus on important and major issues.Kikwete has been told to elaborate and give...
  9. R

    Mdahalo kati ya Freeman Mbowe na Hamad Rashid ITV

    JK amezungumzia suala la udini kama moja ya vipaumbele vyake kama si kosei ni nambari 1 lakini ameshindwa kuainisha huo udini uko wapi,umejitokeza katika masuala yapi?nani walikuwa maengineer wake?!tukumbuke huwezi tatua tatizo kama hujui kisababishi chake
  10. R

    Proud of being Ugandan, I want to be Kenyan too!

    What are the clear motives for dual citzenship for African countries?is it "attraction" of African investors who are outside africa to come and invest?do we refer it as the best option as good investment environment?
  11. R

    Ufisadi ushuru wa forodha siri nzito

    Msameheni Calipso yawezekana uwezo wake wa kujadili mambo ni mdogo au katumwa pasi kupewa maelezo ya kutosha......
  12. R

    No control over Religious radio stations over hate speeches

    I have grow up in a place where majority were not people from my religion,parents would even try to stop their child from playing with us(of different religion) but thanks to God who put natural love to the kids,we would normaly go away and play,we grew the friendship and that was the best thing...
  13. R

    I didn't want to write about this again; But Mr. President c'mmon!

    Kama alivyosema de novo hapo juu hakukuwa na ulazima wa moja kwa moja kuihusisha mada na CCJ kwa chini,but its quite annoying to see things how they are,hili tatizo limekuwapo toka kuanzishwa kwa hii bodi,sina hakika sana ni kitu gani walioiunda walifikiri ama kuwaza lakini kwa mtazamo wangu...
  14. R

    Serikali ya CCM na Duka la Mzungu "li wazi"..

    Umbwe mkubwa wa uongozi nchini unatugharimu sana,sioni kwa nini Rais aendelee kung'ang'ania watu ambao wameprove failures mara nyingi na kwenye taasisi mbalimbali?...Our Leaders are contended with what we have for reasons they understand better
  15. R

    Zitto:Uchunguzi wa EPA kiini macho

    Zitto as many other Tanzanian politicians,he is just an opportunitist!there was a time i though i like him only to realise he has no thrust for change
Back
Top Bottom