Pengine ulikua hujaiona ripoti hii | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pengine ulikua hujaiona ripoti hii

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwanakili90, May 1, 2011.

 1. Mwanakili90

  Mwanakili90 JF-Expert Member

  #1
  May 1, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 1,571
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Baada ya uchaguzi mkuu wa kugombea uraisi uliofanyika tarehe31 oktoba.Serikali ya jamuhuri ya muungano wa Tanzania,kupitia taasisi,idara na mashirika mbalimbali ya umma ilitumia shilingi 175,639,750/= kwa ajili ya kutoa salamu 217 za pongezi zilizochapishwa katika vyombo mbalimbali vya habari kama magazeti, kuanzia tarehe 8 novemba hadi tarehe 8 desemba 2010.
   
 2. K

  Kiranja JF-Expert Member

  #2
  May 1, 2011
  Joined: May 19, 2007
  Messages: 754
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Iko wapi hiyo ripoti?
   
 3. R

  Ronaldinho Member

  #3
  May 1, 2011
  Joined: Aug 7, 2009
  Messages: 69
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tuwekee report mkuu ili tuijadili
   
 4. Mwanakili90

  Mwanakili90 JF-Expert Member

  #4
  May 1, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 1,571
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Hayo juu ni mashairi? Au mpaka ijaze page ndo utajua ndo ripoti?
   
 5. Wa Ndima

  Wa Ndima JF-Expert Member

  #5
  May 1, 2011
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 1,512
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  figure si ipo hapo mnataka nini?
   
 6. K

  Kiranja JF-Expert Member

  #6
  May 1, 2011
  Joined: May 19, 2007
  Messages: 754
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Source ya hicho ulichoandika ni kitu gani ni wewe ama kuna study imefanyika mahali mpaka kupata hicho kiasi na umesema labda tulikuwa hatujaipata hiyo ripoti, ni kweli mimi sijaipata ndio maana useme umetoa wapi hayo ama umejuaje hayo?
   
 7. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #7
  May 1, 2011
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Yaani kila tangazo moja ni Shs 809,399/-. Isnt this shit?
   
 8. Mwanakili90

  Mwanakili90 JF-Expert Member

  #8
  May 1, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 1,571
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  ushagawanya kwa idadi ya matangazo? Gud job.
   
 9. Gsana

  Gsana JF-Expert Member

  #9
  May 1, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 4,387
  Likes Received: 348
  Trophy Points: 180
  True and fair view!
   
Loading...