Recent content by RON PAUL

  1. R

    Simba sc vs libolo!

    wanarudiana lini hawa?
  2. R

    50 cent atolewa nishai live

    wazungu alwayas huwa hawatupendi sema basi tu
  3. R

    Viongozi upinzani mnatakia kufuata mfano huu

    Hivi kaoa huyu kibaraka
  4. R

    Rished Bade kumsaidia Kitillya TRA

    Bade ni Msomali.
  5. R

    Rished Bade kumsaidia Kitillya TRA

    kitillya nae apumzike sasa,amekaa muda mrefu sana pale
  6. R

    Rished Bade kumsaidia Kitillya TRA

    kwa kuongezea tu yeye ni mwanachama wa kila kijiwe cha kina jenerali ulimwengu,balozi ami mpungwe,wendo mwapachu cisco mtiro,jaji mkuu othman na wengine pale mitaa ya kati,nazungumzia british legion club,na huwa anabisha sana na wendo mwapachu,kama namuona wendo atakavyomchachafya pale club
  7. R

    Jenerali Ulimwengu amponda JK na wanachama wa SAIGON!!

    kutoka kwa watu wa saigon,wapo humu na wanafuatilia huu mjadala
  8. R

    Soka bwana halina adabu hata kidogo..

    hIVI NANI KAIPANGIA SIMBA RATIBA YA KUCHEZA MECHI TANO MFULULIZO NYUMBANI?
  9. R

    Yanga vs Mtibwa/Simba vs JKT Ruvu - Sept 19, 2012 (Updates)

    hIVI YANGA WAMECHEZA MECHI NGAPI NA KUFUNGWA NGAPI??? SIMBA WAZURI MECHI ZA NDANI TATIZO LAO LINAKUJA KWENYE MASHINDANO YA KIMATAIFA KAMA KAGAME NA MENGINE YANAWASHINDA SANA
  10. R

    Yanga vs Mtibwa/Simba vs JKT Ruvu - Sept 19, 2012 (Updates)

    MANJI AWAKA 3-0 ZA MTIBWA, TIMU KUFIKIA KITI MOTO DAR Viongozi wa Yanga, kushoto Mussa Katabaro na Seif Ahmad 'Magari' wakiwa taaban Uwanja wa Jamhuri jana KIPIGO cha mabao 3-0 ambacho Yanga imechapwa na wenyeji Mtibwa Sugar ya Turiani, Morogoro kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini hapa jana...
  11. R

    Jenerali Ulimwengu amponda JK na wanachama wa SAIGON!!

    saigon kwanza si nasikia imegawanyika imekua vipande vipande,wengine wamehamia pale livingstone kwenye baraza moja ya muuza kahawa na wengine wapo pale narung'ombe kwenye nyumba ambayo bakhresa anaitumia kama stoo yake ya kuhifadhia maji ya uhai,naomba ufafanuzi zaidi
  12. R

    Nazikumbuka Tukuyu star na MECCO za Mbeya

    zama hizo zilizotajwa na mleta mada lipuli ilikua hata haijulikani,labda reli ya kina Duncun Butinini,Gasper Lupindo,Fikiri Magoso n.k. hiyo ndio Reli kiboko ya vigogo,simba na yanga walikua hawatoki morogoro na lazima vurugu zitokee
  13. R

    Nazikumbuka Tukuyu star na MECCO za Mbeya

    mkuu kim kama hukua mchezaji wa moja ya hizi timu ntashangaa sana..lol unakumbukumbu za ajabu sana aisee,mimi nawakumbuka baadhi tu ya wachezaji kaka african sports kulikua na kina kulwa shaban mchezaji mrefu kupita wote kupata kutoakea bongo,juma burhani,victor mkanwa alikua anafunga sana,Abas...
Back
Top Bottom