Wakati wa Kagame baada ya Mbuyu Twite kusababisha magoli ya utata tulisema hela ya EPA imeingia hadi kwenye jeshi la Rwanda wakatutukana lakini ukweli utabaki Kagame mechi nyingi tu walihonga.mhhhh i kanti bilivu zis.... Yaani kerere zooote kumbe timu ya wizi wa hela za EPA na ufisadi, ya jamaa ambaye juzi juzi kahonga wabunge HAMUNA KITU...??
Na yule bloga wa kujikomba-komba, OHHH REKODI ZA MTAKATIFU KUIFUNGA TIMU YA ZANAKI, mara ohh mtakatifu sijui nini kumbe kweli kagame mlinunua...!!!! Sasa huyo Mbuyu Twetwe amerudi kwao au ..?? Kudadek soka uwanjani sio ktk magazeti na blogu za waandishi njaa..............!!!!!!!!!!!!!!
Mkuu sawa, lakini tutaongozwa na historia mpaka lini, tunahitaji ushindi na siyo kufuata historia, tambo za viongozi wetu, magazeti nayo yalivyopamba timu yetu na mbwembwe za kocha wetu, sikutegemea tupate kipigo kama hiki, ama wachezaji wetu wamechoka safari ndefu? Inatia uchungu sana, kumbuka tukifungwaga , huwa tunafungwa mfululizo mpaka kuzinduka, naogopa hili, nadhani imefikia wakati tusicheze magazetini, maana inaafanya timu pinzani kujiandaa. Kumbuka ni 3-0 , inatia uchungu sana
Ninachoendelea kugundua hawa Jamaa zetu wa mtaa wa 2 kumbe wana mashabiki wengi sana.
hIVI YANGA WAMECHEZA MECHI NGAPI NA KUFUNGWA NGAPI???Yebo Yebo safari hii msijidanganye, timu zote Ligi Kuu ni nzuri sana msidhani hizi point mnazopoteza sasa mtakuja kuzi-recover kirahisi. Mna timu dhaifu sana! Nimetoka Jamhuri Stadium sasa hivi. Barthez amepigwa bao la umbali wa mita 40! Huyo Twite hamna kitu kabisa; alikuwa njia ya mkato mpaka kocha akalazimika kumtoa. Msikimbilie kusajili wachezaji kutoka nje na kutumia pesa kibao. Wachezaji wapo hapa hapa Bongo. "Ohh tumewapiga bao Simba kwa kumtwaa Twite." Kiko wapi sasa?
hIVI YANGA WAMECHEZA MECHI NGAPI NA KUFUNGWA NGAPI???
SIMBA WAZURI MECHI ZA NDANI TATIZO LAO LINAKUJA KWENYE MASHINDANO YA KIMATAIFA KAMA KAGAME NA MENGINE YANAWASHINDA SANA
hIVI YANGA WAMECHEZA MECHI NGAPI NA KUFUNGWA NGAPI???
SIMBA WAZURI MECHI ZA NDANI TATIZO LAO LINAKUJA KWENYE MASHINDANO YA KIMATAIFA KAMA KAGAME NA MENGINE YANAWASHINDA SANA
Hilo kombe la Kagame linatofauti gani na kombe la "mbuzi"
hIVI YANGA WAMECHEZA MECHI NGAPI NA KUFUNGWA NGAPI???
SIMBA WAZURI MECHI ZA NDANI TATIZO LAO LINAKUJA KWENYE MASHINDANO YA KIMATAIFA KAMA KAGAME NA MENGINE YANAWASHINDA SANA
Mkuu mie ni Yanga, ila naomba nitofautiane nawe katika hili, ujue sisi tambo zetu zipo hapa tu East Africa, nakumbuka tushachukua ubingwa kule Nakivubo tukiwa na wachezaji watatu tuliosajili kutoka watani zetu. Ukiacha kanda hii ya Mashariki, huwa hatufurukuti kwingineko, sisemi kwamba watani zetu wameshachukua ubingwa nje ya kanda ahii lakini wameshafanya makubwa ambayo sisi hata robo yake hatufikii katika mashindano ya Kimataifa. Tatizo letu tunacheza magazetini, haapo juu kuna uchambuzi mzuri sana, lakini kama kujisikia wachezaji kutokana na ubora wa timz na kuwa na miundo mbinu basi AZAM ndiyo ifanye hivyo, sisi wachezaji wetu wajisikie katika lipi? usajili?mishahara? kiwanja cha Kaunda? uongozi? ama kuwa na wazee waa klabu wenye misimamo?Naogopa kipigo kingine kinafuata, fuatilia historia yetu, utaona huwa tunafungwa mfurulizo, kwasasa tujielewe, ligi ndiyo imeanzaa, tuachane na tambo zisizo na tija.hIVI YANGA WAMECHEZA MECHI NGAPI NA KUFUNGWA NGAPI???
SIMBA WAZURI MECHI ZA NDANI TATIZO LAO LINAKUJA KWENYE MASHINDANO YA KIMATAIFA KAMA KAGAME NA MENGINE YANAWASHINDA SANA
Mkuu mie ni Yanga, ila naomba nitofautiane nawe katika hili, ujue sisi tambo zetu zipo hapa tu East Africa, nakumbuka tushachukua ubingwa kule Nakivubo tukiwa na wachezaji watatu tuliosajili kutoka watani zetu. Ukiacha kanda hii ya Mashariki, huwa hatufurukuti kwingineko, sisemi kwamba watani zetu wameshachukua ubingwa nje ya kanda ahii lakini wameshafanya makubwa ambayo sisi hata robo yake hatufikii katika mashindano ya Kimataifa. Tatizo letu tunacheza magazetini, haapo juu kuna uchambuzi mzuri sana, lakini kama kujisikia wachezaji kutokana na ubora wa timz na kuwa na miundo mbinu basi AZAM ndiyo ifanye hivyo, sisi wachezaji wetu wajisikie katika lipi? usajili?mishahara? kiwanja cha Kaunda? uongozi? ama kuwa na wazee waa klabu wenye misimamo?Naogopa kipigo kingine kinafuata, fuatilia historia yetu, utaona huwa tunafungwa mfurulizo, kwasasa tujielewe, ligi ndiyo imeanzaa, tuachane na tambo zisizo na tija.