Viongozi upinzani mnatakia kufuata mfano huu

KIM KARDASH

JF-Expert Member
Sep 21, 2011
5,139
1,139
AT LAST MORGAN TSVANGIRAI WEDS ELIZABETH MACHEKA.

430109-morgan-tsvangirai-wedding.jpg

<!-- end .postcontent -->

<!-- end .divider .social -->
 
Acha unafiki na umbea wako, Dr Slaa ameshafunga ndoa rasmi na J. Mushumbusi.
 
Mi nimetupa jiwe gizani kama kawaida yangu..unao ushahidi japo wa picha,maana hizi picha zilipigwa zimbabwe lakini tunaziona mpaka tanzania
 
Mzee hizi taarifa mpya, lini hiyo? Dr. Mzinzi yule kaoa! Sikia wakware wenzake watamtetea. Ukibisha nukuu na aya au mistari ya vitabu vya dini, usilete busara za kilevi. Dr. Slaaaa Mzinzi nz mwesherati. Aje kwa Gwamanya
 
Jamaa kishaoa sasa, alioa 21st July 2012. Kwa hiyo sio mzinzi tena kama ambavyo unataka wewe !!
Ila mimi nina mashaka na jamaa wa chama tawala, wengine ndio wenye sifa kama hizo hapo ulizoziandika kweye blue,
Hebu angalia jamaa hawa hapa wa chama tawala, halafu tuanze na hao......

Hivi hawa jamaa hapa walifunga ndoa ?? maana nakumbuka miaka ya 1990, huyo jamaa alimtelekeza mkewe kwa ajili ya huyo 'mrembo'...
 
Attachments

  • msekwa.jpg
    msekwa.jpg
    7.4 KB · Views: 50
  • anna abdalah.jpg
    anna abdalah.jpg
    6 KB · Views: 50
Mzee hizi taarifa mpya, lini hiyo? Dr. Mzinzi yule kaoa! Sikia wakware wenzake watamtetea. Ukibisha nukuu na aya au mistari ya vitabu vya dini, usilete busara za kilevi. Dr. Slaaaa Mzinzi nz mwesherati. Aje kwa Gwamanya

Huyu hapa nae itabili afuate ushauri wako huo hapo kwenye blue,
Maana mmhhhh !!, nasikia ana watoto ila sijui kama ana mume ??!!
 
Attachments

  • makinda.jpg
    makinda.jpg
    6.4 KB · Views: 37
Kwani kuoa ni lazima mbona watu wanashikilia bango vitu ambavyo havina mantiki hapa ungeweka mfano wa aliyewahi kuwa Rais wa ufaransa Sarkozy yeye alitalikiwa baada ya kuwa Rais kwani mkewe aliona kuwa mume angekua bizy sana na kazi
 
Mi nimetupa jiwe gizani kama kawaida yangu..unao ushahidi japo wa picha,maana hizi picha zilipigwa zimbabwe lakini tunaziona mpaka tanzania

Hapo kwenye ushahidi wa picha, mhhhhh !! Angalia sana ... Maana....

Mhhh !! Mambo ya picha, Mhhh !!! na ushahidi wa picha Mhhh !! Jamaa wameungana... mikono yao ime ......
 
tunata picha ya kiongozi wa upinzani ambae tunamtaka afuate nyayo za mpinzani mwenzake wa zimbawe hapana hii meshimiwa rais wetu na mrembo anaeitangaza vyema nchi yetu
 
Mzee hizi taarifa mpya, lini hiyo? Dr. Mzinzi yule kaoa! Sikia wakware wenzake watamtetea. Ukibisha nukuu na aya au mistari ya vitabu vya dini, usilete busara za kilevi. Dr. Slaaaa Mzinzi nz mwesherati. Aje kwa Gwamanya

Vipi umo kwenye list dada?
 
tunata picha ya kiongozi wa upinzani ambae tunamtaka afuate nyayo za mpinzani mwenzake wa zimbawe hapana hii meshimiwa rais wetu na mrembo anaeitangaza vyema nchi yetu
Wewe na nani mnataka??
Zingatia matumizi ya umoja na wingi.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
tunata picha ya kiongozi wa upinzani ambae tunamtaka afuate nyayo za mpinzani mwenzake wa zimbawe hapana hii meshimiwa rais wetu na mrembo anaeitangaza vyema nchi yetu

Ila hatujaziona picha zake (JK) za harusi. Sasa, unaweza kusema kuwa una wasiwasi kama jamaa (JK) ameoa au ??
Hebu weka hapa picha za harusi za JK tuzione ??
Vinginevyo, na yeye pia ni kama ulivyosema kweye post zako za hapo juu..!! (kwamba umetupa jiwe gizani ..) !!
 
10611_414753375250716_869215091_n.jpg
 
Mwache ale bata,tatizo watanzania na waafrika mmezoea kufanya mambo yenu kisiri siri,watu wengine hawawezi kuwa na wanawake wawili kwa wakati mmoja,Dk Slaa ni muwazi sio nyie magamba nyumba ndogo kibao!
 
Back
Top Bottom