Chum Chang
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 999
- 272
Saigoni kati ya Kariakoo
sio kila kijiwe ni kibaya
kWÁ KUWA MSIE MTAKA ANA KWENDA KUONGEA NA JAMAA ZAKE
sio kila kijiwe ni kibaya
kWÁ KUWA MSIE MTAKA ANA KWENDA KUONGEA NA JAMAA ZAKE
kiranga -hivi utadhani kikwete ndo akuandalie timu ya vijana na mipango yote? wewe umefanya nini kufikia mafanikio unayoyatamani mpaka sasa? au ndo wale wenye kudandia na kulaumu kila jambo kwa kuwa wewe ni kinyume na JK? Mbona humsemi tenga ambaye ana dhamana ya kujenga mfumo wa mpira hapa TZ? Itakuwa nchi ya ajabu iwapo tunataka rais afanye kila kitu-alileta kocha wa kigeni baada ya kumuuliza tenga tutakwenda Ghana? maana yake si kwenda leo au kesho bali alitaka Tenga aweke mfumo wa kutuwezesha kufika huko baada ya kuwa na kocha wa kigeni-usiwe mwenye kulaum kila jambo jiulize wewe umefanya nini kufikia hapo unapotutaka tufike.
Mkuu wangu hukuwa na sababu ya kujibu maswali ya kipuuz kama haya. yeye JK kama rais aligombea Urais na akatoa hadi ambazo hakuzitimiza...Maisha yako na ulichokifanya hayahusiani kabisa na mjadala huu.Noblesse Oblige, mie kaka wa familia yangu nishafanya kwa kiwango changu katika familia na jamii ya karibu yangu, nimepeleka vifaa vya michezo vijana wa mtaani wanajibweda. Ninasomesha cousins kadhaa elimu ya juu. Not meaning to brag, lakini umeuliza na mie sikimbii swali.
Sijagombea uongozi wa kitaifa kwa hiyo huwezi kunivika mzigo wa taifa.Kama kila kaka angefanya kama mie nilivyofanya kwa familia yangu na jamii ya karibu labda tusingekuwa na matatizo makubwa hivi.
Everything in proportion.Huwezi kutaka mie nisiye nguvu ya dola wala wajibu wa kufanya mipango ya kitaifa nikupe mambo ya level ya kitaifa.
Mkuu punguza maneno makali (just kidin') si unajua Watanzania wanvyopenda kutengeneza vinyago halafu vinawatisha wenyewe!! Ni kama zile hadithi za chunusi au joka kubwa kwenye mti fulani......woga mtupu
ha ha ha, yaani hapo umenikumbusha uchaguzi wa chama cha soka mkoa wa Dar es Salaam, kipindi kile Ditopile ni RC wa Dar, kitu kama 1994 au 95 hivi, Lutta Nelson alipogombea, Ditopile akaenda kupoiga kampeni akasema sio mnachagua watu hata Dar hawaijui, yaani hata tongotongo za kijijini kwao hazijawatoka, basi Lutta zengwe likamkuta akatoswa kwenye uchaguzi
sijawahi ona kiongozi yeyote toka Saigoni aliyepata kutuletea maendeleo iwe Dar, Mpirani au kitaifa, angalia KK alikuwa meya wa jiji miaka mingi na hakuna la maana alilofanya, Ditopile yeye ni uzinzi mpaka akawa anaitwa ukimuona mzurimzuri mtupie, angalia Ismail Aden Rage, tangu katibu TFF mpaka kwenye timu yangu niipendayo ya Simba, hamna jipya, sana sana atajifanya yeye mtoto wa njini anajua fitina wakati hamna maendeleo, JK nadhani sina la kusema, wote mnajua amekuwa rais wa aina gani,
kifupi members wa Saigon wamefanikiwa sana kupata vyeo mbalimbali hapa bongo na wanajua sana kuwafanyia fitina wenzao na kuwachafua majina lakini inapokuja kwenye sual la uongozi, wameprove failure vibaya
kutoka kwa watu wa saigon,wapo humu na wanafuatilia huu mjadalaufafanuzi RON PAUL kutoka kwa nani wakati wrewe ndo umesikia? Kama huna uhakikia ungenyamaza mpaka uupate ukweli ndo useme:director: