Kwa usanii mkubwa, Ccm wakiwatumia vijana wa juzi juzi kwenye siasa,walijitahidi kumtukana mzee Lowassa kuonyesha ni mtu mbaya kwa jamii ya wanaCCM,asiyeweza kutenda jambo lolote jema na zuri kwa nchi yetu,Wanachojisahau hawa jamaa zetu wa CCM ni kuwa Lowassa ndie waziri mkuu aliyefanya mambo...