Hii picha inasikitisha sana kwa kweli

Hii picha inasikitisha sana kwa kweli

Kiitifaki hata Waziri hapokelewi na Mkuu wa Mkoa. Waziri anapokelewa na RAS au DC. RC analazimika kumpokea Rais, Makamu Rais na Waziri Mkuu. That means cheo cha RC kipo kwenye rank moja na Waziri.
Inategemea mkuu,,usikariri.Waziri na mkuu wa mkoa wapo level moja hata mshahara. Kumpokea siyo swala la lazima km ilivyo kwa Rais, akaamua mwenyewe.
 
Nasikia alienda kny kanakana moja huko moshi inayoitwa RSA rajinder motors ni wataalam wa ku-customise magari yaani ukiwapa gari bovu wanaligeuza kuwa jipya..hivyo alipeleka magari mabovu ya mkoa wa Dar ili yarudishwe upya.
Kanakana ndio kitu gani mkuu au ulitaka kusema KARAKANA
 
Angalia jinsi Mama anavyonyenyekea kwa jamaa ambaye wanalingana cheo na ni mgeni mkoani kwake?Hii ni protocol ya wapi kwanza?mkuu wa mkoa wa dsm kutembelea kilimanjaro na kupokelewa na mkuu wa mkoa na Dc sitashangaa hata huyo polisi wa nyuma kuambiwa ni Rpc wa kilimanjaro?
Damn,au huyu bandugu ni waziri???dah mama kaweka pose la heshima halafu in reality yeye ndiye alitakiwa aheshimiwe maana kapiga kitabu cha ukweli na kichwa kinachaji kwelikweli,life sio fair aisee haswa Tanzania.
View attachment 538269
Kati ya hào watatu nan ambae hajapiga kitabu hapo? Au akili hazichaji?....
 
Wametembelewa na mtu mwenye cheo kilicho katikati ya Rais na makamu wa Rais .....unadhani mchezo
 
Mleta mada huo unyenyekevu umeuona kwa dalili zipi?
mbona mimi naona wote ni kama wananyenyekeana tu?
wote wameshika mikono sawa,

Mimi simtetei yeyote hapo ila mleta mada unaonekana unchuki tu na rc wa Dar,
Piga kazi jomba tengeneza maisha yako ndio muhimu kwako kuliko kufuatilia vitu visivyo na mafuaa direct kwenye maisha yako.
Kweli kabisa mwanaume kuwa mbea ni tatizo sana
 
Hivi mweka mada huna lengine lakusema mpk uje utuwekee uchoro wa hayo maneno yako..?
nawengine wanalishwa sumu tu nakuanza kupapatika maneno! vitu vyengine bhana kasheshe udaku mpk kwenye siasa kweli tutabaki kuwa chini mpk tutakapojitambua
 
Kwa utaalamu wangu wakuinterpret body language. Huyo mama anaonesha nidhamu ya kama vile kuna kitu unique anakipokea kutoka kwa DAB wakati huohuo DAB ni kama anatoa maelekezo/anauliza kitu fulani hivi namna kitu hicho kimevyo fanywa. Halafu Bwana Warioba anamuangalia kwa jicho ambalo kama anamfikiria DAB badala ya kusikiliza anachoambiwa I'm sure bwana Warioba hakuelewa kinagaubaga kilichokuwa kinazungumzwa na DAB.
 
Mbona juzi meya wa moshi alikuja kureport kwa DAB?
 
Back
Top Bottom