Kibo10
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 11,278
- 8,868
Kwa usanii mkubwa, Ccm wakiwatumia vijana wa juzi juzi kwenye siasa,walijitahidi kumtukana mzee Lowassa kuonyesha ni mtu mbaya kwa jamii ya wanaCCM,asiyeweza kutenda jambo lolote jema na zuri kwa nchi yetu,Wanachojisahau hawa jamaa zetu wa CCM ni kuwa Lowassa ndie waziri mkuu aliyefanya mambo mazito nchi hii sambamba na hayati Sokoine.
Mfano wa mambo makubwa aliyotenda Lowassa ni pamoja na.
1.Ujenzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma
2.Ujenzi wa shule za sekondari za kata.
3.Akiwa Waziri wa Maji aliwatetea wananchi wa Kahama na Shinyanga wavutiwe maji kutoka Ziwa Victoria. 4.Lowassa alipambana na matajiri waliotumia fedha kupora viwanja vya umma.
5.Pia Lowassa anasifika kwa kuwafukuza nchini kampuni ya City Water waliposhindwa kutimiza masharti yaliyokuwamo kwenye mkataba
6.Lowassa alisimamia watendaji na kuwasimamisha baadhi yao kwa maslahi ya wananchi, alipambana na njaa ya mwaka 2006/07 na kuhakikisha hakuna mwananchi analala na njaa nchi hii.
Binafsi sina tena kinyongo na mzee EL maana ameokoka/ameslimu wana UKAWA tumtumie lowassa kwa manufaa ya nchi yetu anakipaji cha uongozi na anaipenda nchi yake.
Ni bora kulaumiwa kwa kufanya maamuzi kuliko kulaumiwa kwa kutokufanya kabisa.