Hii picha inasikitisha sana kwa kweli

Hii picha inasikitisha sana kwa kweli

Kwa nature ya sisi Watanzania tulivyo kama makondoo amen amen nakuambia hayana mwisho haya, jamaa anakuja kuwa Rais wa jamhuri!!......... believe me!
Hawezi kamweee,Mkulu akimaliza muda wake na yy ndio bac tena amini hivyo...
 
Angalia jinsi Mama anavyonyenyekea kwa jamaa ambaye wanalingana cheo na ni mgeni mkoani kwake?Hii ni protocol ya wapi kwanza?mkuu wa mkoa wa dsm kutembelea kilimanjaro na kupokelewa na mkuu wa mkoa na Dc sitashangaa hata huyo polisi wa nyuma kuambiwa ni Rpc wa kilimanjaro?
Damn,au huyu bandugu ni waziri???dah mama kaweka pose la heshima halafu in reality yeye ndiye alitakiwa aheshimiwe maana kapiga kitabu cha ukweli na kichwa kinachaji kwelikweli,life sio fair aisee haswa Tanzania.
View attachment 538269
Hapo naona..Kippi ndio yuko so relaxed

Huyu mgeni nasikia alikuwa...anamshauri mkulu kuwe na Mkuu wa Wakuu wa Mikoa
 
Juzi tulikuwa nae kwny sherehe kaja na mpiga picha wake
 
Mbona mama anna kaweka pozi la kawaida tu. Huwezi jua malezi ya wengine sio kila mtu yuo kishari shari kama akina mdee.
 
HuyuMama nilimdharau wakati wa mdahalo wa wagombea Urais....

Alikua amejaa unafiki na hofu..aluchokua anakiongea ni kama alitoka karirishwa. Acha wakimbizwe tu..
 
Nasikia alienda kny kanakana moja huko moshi inayoitwa RSA rajinder motors ni wataalam wa ku-customise magari yaani ukiwapa gari bovu wanaligeuza kuwa jipya..hivyo alipeleka magari mabovu ya mkoa wa Dar ili yarudishwe upya.
 
Huyo ndio bashite bwana, mkuu wa mkoa mwenye nguvu kuliko mawaziri
 
Nasikia alienda kny kanakana moja huko moshi inayoitwa RSA rajinder motors ni wataalam wa ku-customise magari yaani ukiwapa gari bovu wanaligeuza kuwa jipya..hivyo alipeleka magari mabovu ya moa wa Dar ili yarudishwe upya.
Yani kwenye mkoa mzma wa dar ameona tatzo moja tu la magar yake mabovu?? Shame
 
Angalia jinsi Mama anavyonyenyekea kwa jamaa ambaye wanalingana cheo na ni mgeni mkoani kwake?Hii ni protocol ya wapi kwanza?mkuu wa mkoa wa dsm kutembelea kilimanjaro na kupokelewa na mkuu wa mkoa na Dc sitashangaa hata huyo polisi wa nyuma kuambiwa ni Rpc wa kilimanjaro?
Damn,au huyu bandugu ni waziri???dah mama kaweka pose la heshima halafu in reality yeye ndiye alitakiwa aheshimiwe maana kapiga kitabu cha ukweli na kichwa kinachaji kwelikweli,life sio fair aisee haswa Tanzania.
View attachment 538269
Pilipili usoila yakuashiani?
 
Ni hekima tu...huyu mama ana hekima sana.sio wanawake wenu wa MMU..amefunzwa akafunzika..
 
Ba.shite Kilimanjaro umeenda kufanya nini tena?
 
Back
Top Bottom