Kwa sasa hakuna zambi ninayoogopa kuitenda kama kumuamin mwanasiasa.. huyu mtu ni zaid ya shetani.. mtu unataka kumsifia mbunge kuwa kabadilika hahahahaha shetani ananjia nyingi sana za kumlagai binadamu.
Huyu jamaa na uongoz wake lazima watafyata tuu mkia, coz hana deplomacy kwny bzness za watu, bora angekusanya kodi tuu ila hatoe huo ubabe na urasimu kwa hawa watu, lazima ajute kwa nn anajifanya dikteta
Bro hivyo viwanda vipo wap labda tuone iyo ajira.. kwanza toa ushabiki katka suala la ajira coz hakuna mtu hasietaka kufanya kazi ila system ya ajira unaijua saana tz..
Hii vita bora tukae kimya tuu sis wananchi coz tuna mengi yakufanya, NHC, MBOWE NA SERIKALI wanajuana sana na toka kitambo utakuta hilo deni wanapeana 10%. Na hiyo mahakama hakuna ile honestly coz now its running under Someone say
Hahahahahaa mimi naona waendelee tuu kubolonga coz huyu jamaa hataki kuambiwa vitu, km yy prezdaa kwa nn asiwe anachomekea ata kalugha ka watu ila kisa hajui yai ndo maana
Kuna watu kama mwinyi alipigwa na mwananchi lakin kesi ikaishia hewan, kuna watu km bush wa marekani kupigwa na viatu lkn lilikuwa ni jambo la kawaida.. Leo hii kusema rais bwege ndo iwe kesi... Hapa rais wetu lazima awe na hekima za kileo bana.. Kuna watu wametukana viongoz zaid ta uyu magu...
Unapaswa kusamehe coz kwa namna nyingine unaumia kuona yupo ivyo kwa sasa kwa sababu unampenda thus why hauwez msamehe .. Msamaha ni njia sahihi ya mafanikio kwako na kwake.. Naamin 80% ya vijana wa saiz kuanzia 20-35yrs wengi wao wana kidonda cha kuumizwa kwa jinsia zote mbili iwe ameoa...
Watanzania sisi ni walalamikaji sana.. Mimi mwananchi wa kawaida pale napoona raisi anapata ujasiri wa kudeclosure mshahara wake lazima nijue uyu mtu ana nia nzur na ni moja ya strategy ya kuencourage wananchi wake wajue hana nia mbaya kuwa pale ikulu..kama ilivyokuwa kwa aliepita ambae ata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.