SAWAKumbe ni watu wa diploma na chet nikajua undergraduate guys
Bachelor si TCU auKumbe ni watu wa diploma na chet nikajua undergraduate guys
UshaangaliaNGOJA TUSUBIRI TUONE
medical lab. Uliichagua kwani?Wameniandikia Diploma in Medical Laboratory wakati nilitaka Clinical Medicine.
Clinical Medicine ina competition kubwa kwani F6 walipoona points za kwenda vyuo vikuu imepanda wamekimbilia hukoNiliiweka ya pili,
huyo kashapata asubir tu chuo kicorfimKweli kuna dogo nilimsaidia kuomba kapata Diploma in Nursing- Dareda Manyara ila pale chini pameandikwa Pending