Recent content by rogere

  1. R

    I am Looking for Friends Who speak English

    Are you on Whatsapp?
  2. R

    New Deal signed to enable SGR elecrification in two years

    Hii statement siyo kweli. Huku East Africa tumekuwa tukitumia diesel-electric locomotives na hata hizi 'high' speed trains viongozi wetu wanazoita SGR electric trains hazitumii umeme wa kwenye grid. Zinatumia diesel-electric traction. Ndiyo sababu Kenya inataka kuwa na fully electric trains...
  3. R

    Uchambuzi wa Mtatiro J kuhusu ATCL kujiendesha kwa hasara

    Hebu tujuze. Exponential business growth ni kitu tealistic kweli. Unaweza kutupa mfano?
  4. R

    INAUZWA UPS used inauzwa bei rahisi sana

    Betry yake ni volt ngapi?
  5. R

    INAUZWA UPS used inauzwa bei rahisi sana

    Uwe tayari kuipata kati ya sh elfu arobaini hadi hamsini.
  6. R

    INAUZWA UPS used inauzwa bei rahisi sana

    Nina uhakika gani kuwa nikiweka betry mpya itanya kazi.
  7. R

    Naomba Kufahamu juu ya kilimo cha Machungwa katika mikoa ya Pwani, Tanga au Morogoro

    Asante kwa kutujuza. Kwenye picha naona machungwa na machenza yaliyo mazuri sana. Jee unaweza kutupa elimu kama hiyo kuhusu machenza?
  8. R

    Nakaribia kuhitimu chuo ila sijui kuhusu chochote nilichosomea

    Baada ya kujua English, soma vitabu vya aina nyingi na vihusuvyo mambo unayopenda. Vitakufungua kwenye suala zimaa elimu.
  9. R

    Chadema imegeuka kuwa Mzigo

    Siyo enzi ys Slaa ni.enxi ya JK kwa dababu tatizo siyo chadema ni utawala huu.
  10. R

    Swali Fikirishi: Treni ya umeme itakuja na 'standby generator' au?

    Hiyo treni sidhani kama ni ya kutumis umeme (electric traction). Ni Diesel-electric train traction. Nenda google ili kuelewa zaidi.
  11. R

    Hili Tatizo la kuweka "L" badala ya "R" katika uandishi ni Janga la Kitaifa

    Hili ni tatizo kweli kweli. Hata wasomi kama wahariri wa magazeti wanaruhusu haya makosa kwenye magazeti yao. Mengi ya haya makosa yanatokana na makabila kama Wakurya, Wasukuma na Wazaramo. Vijana wengi siku hizi nao wameingia kwenye kuharibu kiswahili kama kutimia neno 'ataki' nafasi ya...
  12. R

    Uthibitisho wa Malipo ya Michango ya Wabunge kwa Tundu Lissu

    Kuna uwezekano kuws Branch Name haiko sahihi!
Back
Top Bottom