Chadema imegeuka kuwa Mzigo

Makusudically

JF-Expert Member
Feb 3, 2014
2,198
2,000
Kwa hakika enzi ya Dr Slaa itakumbukwa daima ndani ya chama hiki ambacho sasa hivi kimegeuka kuwa mzigo na chukizo kwa Watanzania hususan ni kuendesha siasa za kikabila na Udini, mfano mgombea Urais wa 2015 Fisadi Lowasa kutangaza hadharani kuwa Walutheli nao wapate Rais ni zamu yao, huu ni udini hatari sana, pia kudai Patrobas Katambi kahamia CCM kwa sababu tu M/kiti wa CCM Taifa ni msukuma, huu ni ukabila hatari mno. Chadema ni chukizo kubwa sana.
 
Makusudically

JF-Expert Member
Feb 3, 2014
2,198
2,000
Kila siku wanachama wanahama
Kila siku wanahangaika na matukio badala ya Sera
Kila siku wanaendesha vikao mitandaoni badala ya jukwaani
Kila siku wanarusha matusi mitandaoni
Kila siku ni kusubilimkono utadondoka kama afanyavyo fisi.
 
zipompa

JF-Expert Member
Aug 19, 2014
6,213
2,000
mkuu kasema hataki siasa hadi 2020 ilo jukwaa unalosema wakafanye siasa ni lipi zaidi ya mtandaoni.

kweli wanachama wanahama ila wengi ni wahamiaji pia ko ni vema ungesema wanarudi nyumbani (tena sio kwa kupenda ni kubanwa mbavu kwenye ulaji wao)
 
jogi

JF-Expert Member
Sep 25, 2010
25,615
2,000
Kila siku wanachama wanahama
Kila siku wanahangaika na matukio badala ya Sera
Kila siku wanaendesha vikao mitandaoni badala ya jukwaani
Kila siku wanarusha matusi mitandaoni
Kila siku ni kusubilimkono utadondoka kama afanyavyo fisi.
Hostels ndio talk of town.
 
Magonjwa Mtambuka

JF-Expert Member
Aug 2, 2016
23,300
2,000
Kila siku wanachama wanahama
Kila siku wanahangaika na matukio badala ya Sera
Kila siku wanaendesha vikao mitandaoni badala ya jukwaani
Kila siku wanarusha matusi mitandaoni
Kila siku ni kusubilimkono utadondoka kama afanyavyo fisi.
Tena kwa sasa hivi haya machadema yameacha kila kitu yamejazana yanajadili nyufa za hosteli. Baada ya hapo yatahamia kwingine kama kawaida yao.
 
magige Dm

JF-Expert Member
Jul 17, 2017
522
1,000
Eti mzigo, umeubeba wewe.kaa huko na akili zako za kidwanzi za fisiemu. Nyambafuu.
 
Ninaweza

JF-Expert Member
Dec 14, 2010
10,600
2,000
Kwa hakika enzi ya Dr Slaa itakumbukwa daima ndani ya chama hiki ambacho sasa hivi kimegeuka kuwa mzigo na chukizo kwa Watanzania hususan ni kuendesha siasa za kikabila na Udini, mfano mgombea Urais wa 2015 Fisadi Lowasa kutangaza hadharani kuwa Walutheli nao wapate Rais ni zamu yao, huu ni udini hatari sana, pia kudai Patrobas Katambi kahamia CCM kwa sababu tu M/kiti wa CCM Taifa ni msukuma, huu ni ukabila hatari mno. Chadema ni chukizo kubwa sana.
Hamna kitu hapo, amini nakwambia pamoja na makosa yao yote hayo, wakipewa uhuru wa kufanya siasa kama wenzao wa CCM hawatakuwa kama walivyo. Hadhira ni ile ile ndugu.
 
Msambwata

JF-Expert Member
Nov 20, 2017
1,307
2,000
Kwa hakika enzi ya Dr Slaa itakumbukwa daima ndani ya chama hiki ambacho sasa hivi kimegeuka kuwa mzigo na chukizo kwa Watanzania hususan ni kuendesha siasa za kikabila na Udini, mfano mgombea Urais wa 2015 Fisadi Lowasa kutangaza hadharani kuwa Walutheli nao wapate Rais ni zamu yao, huu ni udini hatari sana, pia kudai Patrobas Katambi kahamia CCM kwa sababu tu M/kiti wa CCM Taifa ni msukuma, huu ni ukabila hatari mno. Chadema ni chukizo kubwa sana.
We mjinga sana....cdm imekuwa mzigo kwa nani? Kama mzigo kwanini uchaguzi wa juzi militumia mitutu? Kwanini mmezuia mikutano? Kwanini manatia watu risasi? Kwanini mnanunua watu? You're very stupid you woman

Kipimo kikikuwa uchaguzi wa juzi ndo mngejua mbwa nyie
 
Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
26,049
2,000
Kila siku wanachama wanahama
Kila siku wanahangaika na matukio badala ya Sera
Kila siku wanaendesha vikao mitandaoni badala ya jukwaani
Kila siku wanarusha matusi mitandaoni
Kila siku ni kusubilimkono utadondoka kama afanyavyo fisi.
Mbona wewe ni mzigo lkn baba yako hajakutolea radhi, semea risasi basi za Lisu
 
mliberali

JF-Expert Member
Jul 13, 2012
8,392
2,000
Kwa hakika enzi ya Dr Slaa itakumbukwa daima ndani ya chama hiki ambacho sasa hivi kimegeuka kuwa mzigo na chukizo kwa Watanzania hususan ni kuendesha siasa za kikabila na Udini, mfano mgombea Urais wa 2015 Fisadi Lowasa kutangaza hadharani kuwa Walutheli nao wapate Rais ni zamu yao, huu ni udini hatari sana, pia kudai Patrobas Katambi kahamia CCM kwa sababu tu M/kiti wa CCM Taifa ni msukuma, huu ni ukabila hatari mno. Chadema ni chukizo kubwa sana.
magu amepiga hela hostel UDSm, muda si mrefu tutakuwa na msiba wa kitaifa
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom