Basi ni vyema pia boss hyo biashara ya gesti migodini uko ndan katoro ningependa unipe information zaidi maan saizi nipo dutwa uku bariadi ila naona isha anza kuyumba maan mwanzoni chumba kilikuwa 10000 ikashuka adi 7000 saizi ni 3000 ningependa kujua migodi ya uko katoro ikoje interms ya...
2 . Naona dogo atakavyo telekezwa na jamaa .
3. Dgo ata pata mshtuko na kuhisi kma kapoteza direction ya life
4. Dgo ataanza kuwa cheap inshort yeyote atakae mtaka atampata as long as mwitaji awe mjanja mjanja na sound kibao
5. Atapigwa mimba ya pili
6. Punde tuu baada ya kutupa kichanga...
Something like this sounds good na pili mishahara yao ingetokana na income ya mwez kampuni iliyo ingiza kma kuna hasara mshahara unadrop kwa percentage ambayo IPO fixed na kma kuna faida vice verse ifanye
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.