Soko la zao la muhogo

mandazy

Member
Feb 28, 2015
46
16
Wadau mimi ni mjasiriamali na mkulima nina tani kama 50 za zao la muhogo kama kuna anayehitaji au anayejua soko anijuze.
 
Sasa umelimaje bila kutafiti soko ?

Mwisho wa siku utashindia uji wa muhogo
 
Una tani 50 na haujui soko? Muhogo unapatikana mkoa wa kigoma wilaya za kasulu- makere, kakonko na kibondo soko kubwa la ukanda huu ni Rwanda na Burundi, muhogo unaopatikana mkoa wa geita na kias tabora huu unasoki lake Uganda, na muhogo wa Mtwara hua unategemea soko la Uganda na Rwanda hasa kama mavuno sehemu tajwa yalikua machache, muhogo wa mkoa wa kagera hasa muleba mwingi hupelekwa kwa ajili ya chakula visiwani huko anzia lushonga, mulumo, igabiro na visiwa vingine, haya eleza uko wapi nimwage data zaidi
 
Uko vizur kaka nipo makere kigoma

Mchina ananunua mkavu tu uliochakatwa bei haifai kabisa ila wako dar bei 280 kwa kilo 1 huo wako utapungua sana zaidi ya nusu haitakulipa pia uko mbali
 
Una tani 50 na haujui soko? Muhogo unapatikana mkoa wa kigoma wilaya za kasulu- makere, kakonko na kibondo soko kubwa la ukanda huu ni Rwanda na Burundi, muhogo unaopatikana mkoa wa geita na kias tabora huu unasoki lake Uganda, na muhogo wa Mtwara hua unategemea soko la Uganda na Rwanda hasa kama mavuno sehemu tajwa yalikua machache, muhogo wa mkoa wa kagera hasa muleba mwingi hupelekwa kwa ajili ya chakula visiwani huko anzia lushonga, mulumo, igabiro na visiwa vingine, haya eleza uko wapi nimwage data zaidi
Mwagika na mahindi pia kiongozi
 
Hii ndio ya hivi karibuni.

Cassava.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom