Recent content by Robbykan

  1. Robbykan

    Mia Khalifa afunguka juu ya mapambano katika tasnia ya ponografia: Familia yangu ilinikataa walipogundua

    Kuna mtoto anaitwa Diamond pipes ni shidaaa asee kuanzia umbo mpaka sura. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Robbykan

    Tuliowahi kuweka protector aina ya liquid tupeane mrejesho wa maendeleo ya simu zetu kama zilidumu

    Mimi Nimeweka kwenye simu yangu toka mwezi wa kwanza simu ipo vizuri tuu.Imedondoka Mara kibao lakini ipo vizuri tuu. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Robbykan

    Wale Tuliosoma sana O-level tukapelekwa shule za Vipaji, Huko Nature ikatuchagua

    Acha kabisa afu mwaka uliofuata wakalegeza.. Wakaja na big results now. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Robbykan

    Wale Tuliosoma sana O-level tukapelekwa shule za Vipaji, Huko Nature ikatuchagua

    Kuna mtu aliyemaliza form six mwaka 2013 mwaka ambao JKT ilirudishwa.. Huwa nakaa najiuliza Ivi hiyo mitihani walisaisha au walifanya nini. Maana matokeo ya mtihani wa mwaka huo yanabaki kuwa historia katika nchi hii. Ni mabaya haijawahi kutokea kabisa. Pamoja na kuwa katika shule ya vipaji...
  5. Robbykan

    Serikali iwalipe mishahara waalimu 89,475 wanaofundisha shule binafsi

    Mimi navoona social security institutions hasa hasa hii ya wafanyakazi wa sekta binafsi (NSSF). Ingetoa mafao ya hao walimu ili watumie kujikwamua katika kipindi hiki kigumu. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Robbykan

    Kim Jong Un wa Korea Kaskazini yuko kwenye hali mbaya kiafya

    Haka kajamaa Mimi nilizani ni kazee kumbe ndo kana miaka 36..nimeshangaa sana. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Robbykan

    Tecno Camon 15 yazinduliwa rasmi

    Chukua huawei P30 au P30 pro hata iPhone X haioni ndani. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Robbykan

    Askofu Thadeus (PHD) sala ni Muhimu ila dawa na kujikinga ni muhimu zaidi. Hata ukiumwa Maralia husali bali hunywa dawa na kulala kwenye chandarua

    Huyu jamaa ana madini mengi sana katika kichwa chake.. Ashawahi kuwa mgeni rasmi sehemu fulani.. Hakika nlifurahia sana hotuba yake. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Robbykan

    Suala la Academic International School kudai ada ya muhula wakati huu halikubaliki, Serikali tunaomba muingilie kati

    Wakati huu ndo wakati wa kujua huruma za waajiri hasa hasa kwenye shule za private.. Tutegemee walimu wa private kuwa affected zaidi na hii Hali. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Robbykan

    Maoni ya Director General wa WHO kuhusu lockdown kwa nchi masikini kama Tanzania

    Chanjo nyingi sana za ugonjwa huu zinafanyiwa majaribio.. Hopefully mpaka kufikia June kinga itakuwa imepatikana.. Tuzidi kujikinga tuu kwa kufuata muongozo kutoka wizara ya afya pamoja na wataalamu wa afya.. Asubuhi ya leo Nimesoma sehemu flani wanasema Kuna chanjo zaidi ya 70 zimeshatengenezwa...
  11. Robbykan

    Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

    Tatizo ni uzito tuu.. Vingine vyote vipo poa tuu. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Robbykan

    Kwanini Origino Comedy / Ze Comedy Show walitolewa EATV na TBC1 ?

    Saivi nao hawasikiki tena. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Robbykan

    Mwanafunzi wa UDSM akamatwa kwa kusambaza taarifa na Takwimu za uongo za Covid-19 WhatsApp

    Kiherehere tuu.. Kozi yenyewe kiswahili na corona wapi na wapi Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Robbykan

    Natafuta mchumba ikitupendeza tufike tuwe mume na mke

    Chimwemwe.. Hili si neno kisukuma au naelewa tofaut? Sent using Jamii Forums mobile app
  15. Robbykan

    Natafuta mchumba ikitupendeza tufike tuwe mume na mke

    Hahahaha hatari sana mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom