Recent content by rkeffa

  1. R

    JamiiForums Tanzania Manji: Nchi yangu hainithamini

    Muwongo mkubwa mtu wa kujikweza yanga c kajiweka mwenyewe kwa pesa yake. Ubunge kapigiwa debe saana na mh. Aliyepita na best wake mtoto mtu. Yeye anadhani kwa kivuli cha vyeo v yake ndo aachwe kwa kuchukua beach ambayo watu wote wanafurahia magufuri amesema hatojali kiongozi yoyote serikali yake...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Lowassa Umenifurahisha Big Up

    Anatisha
  3. R

    JamiiForums Tanzania Nataka kumshitaki Rose Mhando kwa utapeli

    Acha ukabila nyama we kwani wagogo unawaonaje ukome kuzalau kabila za watu
  4. R

    JamiiForums Tanzania Nataka kumshitaki Rose Mhando kwa utapeli

    Wewe mwenyewe tapeli. Rose c ana meneja wake Alex msama nenda kamwone msiharibiane kwenye mitandao ok
  5. R

    JamiiForums Tanzania Kashfa ya makontena yamuibua Ridhiwan Kikwete!

    We are tired. Marumbano hayana tija mh. Fuata nyayo za diamond usijibizane na news au kamata shitataki. Uchaguzi umekwisha. Rais wetu kasema kwenye salam za Christmas tupendane tupige kaz[/URL]
  6. R

    JamiiForums Tanzania HAIPINGIKI: Diamond & Wema kurudiana

    Kwanini kujadili maisha ya watu tibia chafu mtu ana mke wake zali anaishi naye ninyi mnataka kutenganisha ndowa za watu?
  7. R

    JamiiForums Tanzania Waziri Lukuvi asitisha zoezi la bomoa bomoa

    Zoezi hili liwe endelevu kusiingizwe siasa
  8. R

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya RAHCO

    Safi endelea na majipu tumbua tumbua
  9. R

    JamiiForums Tanzania Utabiri: Muhongo atajiuzulu tena

    Jamani hebuicheni serikali ifanye vitu vyake mbona I meanza vizuri. Keller nyingi kwenye mitandao tulieni tuisapoti serekali yetu wapo vizuri saaana
  10. R

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya RAHCO

    Hapa kazi tu songa mbele
  11. R

    JamiiForums Tanzania Sababu 7 kwanini Mbowe anapigwa sana mawe na ana maadui wengi sana

    Hi issue ni ngumu sana lakini uchaguzi sasa umekwisha Tajikite ktk kuvijenga vyama vyetu mboye ni kiongozi wa Chama tumwache atimize wajibu wake
  12. R

    JamiiForums Tanzania Msaada wa maneno "sex maniac"

    Haha hii kali
Back
Top Bottom