Magu ndo anatekeleza ilani ya ukawa.
Ilani ipi ya UKAWA ? Maana Magufuli sasa hivi anapambana na ufisadi Serikalini na taasisi zake.
Siasa Umeweka Pembeni Sasa Unatekeleza Kauli Mbiu Ya Rais Wa Jamuhuri Ya Muungano Wa Tanzania Mheshimiwa Dr John Pombe Magufuli Ya HAPA KAZI TU Kwa Vitendo Kwa Kuchunga Ng'ombe Nimefarijika Sana Big Up
Lowassa ni mfano wa kuigwa namkubali sana.
Ilani ya ukawa iko kimya juu ya Ufisadi, na Magufuli anapambana na ufisadi live sasa hiyo ilani ya ukawa inatekelezwaje!?
Wabongo wengi kazi kama zile inaonekana kama ni laana, walitaka aonekane viunga vya Hawaii kule USA akila maisha, Kitendo cha kuchunga kwanza ni somo tosha kwa vijana, make vijana ndo wanajifanya wao kazi ni lazima ziwe posta kwenye majengo marefu, that is why utakuta graduate wa SUA tena wa Animal Science yuko mitaa ya posta na vyeti, yaani mtu kapiga maswala ya crop lakini anaishi dar,
Ilani ipi ya UKAWA ? Maana Magufuli sasa hivi anapambana na ufisadi Serikalini na taasisi zake.
Kwa hiyo kwenda kuchunga ndo kaacha siasa? unajua shamba la Mseveni? yeye kila weekendi huenda kuchunga Ng'ombe wake, Nchini Kenya wanasiasa wengi kila weekend utawakuta mashambani yaani vijijini wako na Ng'ombe wanachunga.
Tatizo Tanzania ili uwe mjanjsa lazima ukae town siku zote, wanalima na Kufuga inaonekana ni watu ambao wamekosa dira, na haya ndo mambo yanafanya hadi nyama na matunda tuagize nje kwa sababu watu hawataku kulima wala kufuga wakizania kufuga ni kazi za watu ambao hawajaenda shule

Baada ya kukatwa Dodoma mlipiga mikwara miingi...hatukujali tukamkata tena oktoba bado mkaleta mikwara ya the hegue...Nina mpongeza SANA . The way he contained him self and his followers in the aftermath of the last election , he has definitely turned a hero .