Msaada wa maneno "sex maniac"

Msaada wa maneno "sex maniac"

Sex Maniac By Definiton,Is a person who Love Sex a lot and she/he will Do anything For sex.

kwa tafsiri Isiyo rasmi,tunaweza kusema sex Maniac ni Mzinzi,Malaya,au Kiruka Njia.

In reality,wanawake wengi ni Viruka njia tu.

umemaliza kila kitu

cc: Evelyn Salt
 
Last edited by a moderator:
Huko njiani wanaruka na nani pyeee

Mkuu elewa kiutamaduni wetu kufanywa ni kashfa na kufanya ni sifa

Turudi kwenye point rejea ripoti ya mkemia mkuu wanawake si w? kuwaamini katika mahusiano
 
Yaani mtu aishii kuchepuka tu, lakini anafikia kiwango cha kubeba mimba ya nje ya ndoa ... Huu ni ufisadi, ukiritimba, na uuaji kabisa. Hauvumiliki!!!
 
Hatuwez jadili takwim wsla neno "maniac" kwa kuwa awali binafsi nilishaelezea ktk post yangu.watu walinishambulia sana kwa kutembea na wake za watu.Ukweli ni kuwa karibu 50% ya wanawake walio ktk ndoa au mahusiano they are not happy

Hapo unachanganya kuwa happy na kucheat..ni vitu viwili tofauti kabisaaaa....si kila ambae hana furaha anacheat na si kila anaecheat hana furaha.!
 
Mkuu elewa kiutamaduni wetu kufanywa ni kashfa na kufanya ni sifa

Turudi kwenye point rejea ripoti ya mkemia mkuu wanawake si w? kuwaamini katika mahusiano

Utamaduni wenu ndo upi huo
 
Nyie watu sijui ni wajinga au vipi ?

asilimia 49 ya watu wanaoenda kupima ndio watoto sio wao

hawajasema asilimia 49 ya watoto wote tanzania tena sio wote wanaoenda kupima ni wanandoa

Nahisi umeelewa

Na pia watu hufikia hatua ya kupima sababu ya migogoro kwa hivo ni lazima majibu yawe hivyo kwa kiwango kikubwa....na wengi wao hupewa amri ya mahakama ili kutatua migogoro,km mtu hana ugomvi na mwenza wake hawezi kukurupuka tu kwenda kwa mkemia
 
Hizi takwimu hizi! Acha ninyamaze maana hata mimi nina watoto tena kwa mama tofauti
 
Nyie watu sijui ni wajinga au vipi ?

asilimia 49 ya watu wanaoenda kupima ndio watoto sio wao

hawajasema asilimia 49 ya watoto wote tanzania tena sio wote wanaoenda kupima ni wanandoa

Nahisi umeelewa

Kuna watu akili zao zinadaka taarifa bila kuelewa wanasambaza.
Na hao walioenda kupima ni kwa sababu wana sababu za kupima ikiwemo kuamua kesi.
 
Mimi nadhani idadi yaweza kuwa kubwa zaidi ya hapo maana uchepukaji ni mwingi mno kuliko watu wanavyodhania.

Na pia nahisi kwamba kuna idadi ingine kubwa tu ya watu ambao hawaendi kupimwa ambao wamebambikiwa.

Kwa sababu, uwezekano wa uwepo wa watu ambao wake zao wanachepuka huku wao hawana hata chembe ya kushuku ni mkubwa sana.

Kuna watu huwa wanaapia kabisa kuwa wake zao huwa hawachiti. Sasa sijui huo uhakika wanautoa wapi ilhali huwa hawawi na wake zao muda wote.
 
Back
Top Bottom