Recent content by rito

  1. R

    KERO Supervisors wa Wanafunzi wa Masters - UDSM ni kero, wanatukwamisha wengi, Uongozi wa Chuo uchukue hatua

    UDSM kimekua chuo cha ajabu sana, kuna kipindi kiliitwa majalalani na hili halikupingwa, kuna kipindi wasomi wa hapo walitumika kwenye kamati mbalimbali za kiserikali mfano walikaja na matokeo kuwa kuchafuka kwa mto Mara imetoka na vinyesi vya wanyama (Ng'ombe). Udsm bado ina wafanyakazi ambao...
  2. R

    Dawa ya kuondoa mvi kichwani

    Hahahahahahahahahahhaaaa
  3. R

    Maoni ya Dr. Azaveli Lwaitama Juu ya Lowassa Kuingia UKAWA

    This is perfect at this moment our mother Tanzania needs..
  4. R

    Wana CCM acheni unyonge - Kikwete

    Hii ni hali ya kutojielea kua yuko position gani katika nchi hii. Kwa hakika kiongozi wetu huyu kachoka akapumzike kwa sasa maana hii ni kama kuidhinisha watu wauane.
  5. R

    Mahakama yaamuru jengo karibu na Ikulu lipunguzwe urefu

    Usalama wa Taifa wahamie kwenye hizo gorofa ambazo zinatakiwa kubomolewa ndio solution.
  6. R

    Mgombea Wangu wa Urais 2015 ni yule atakayenihakikishia kurudisha nyumba zote za Serikali walizouziwa Viongozi na Wafanyakazi

    Le Mtuz big up kwa kuamka usingizini marekani inatakiwa uweunatoa mada kama hizi kila mara na hasa kwa blog yako. Sio kuponda kazi nzuri inayofanywa na wapinzani wenu.
  7. R

    Jaji Warioba amjibu Bulembo (CCM)

    Katiba sio ya kuamuliwa na sisiem wala kikundi chochote kile, inatakiwa iamuliwe na wananchi at large Wile unachemka (imaomesha kukaa kwako marekani unaona ni dili sana kilaukihojiwa unataja marekani Duh!! Wewe ni reduced mind kinoma.
  8. R

    Bunge letu na english.

    Wabunge wetu katika bunge la Tanzania tujifunze kujieleza kwa kiingereza maana inatisha na kutia kinyaa. Leo kuna wabunge kadhaa pamoja na madam speaker wamekua wakijikoroga kujieleza kwa kimombo na hata pale speaker aliposema honorable mchu.. reverend.. Hii inaonyesha ni jinsigani wabunge...
  9. R

    Nimetapeliwa jamani

    Pole sana ndugu hata mie walishataka kunifanyia ushenzi kama huu ila niliwagundua mapema.
  10. R

    CHADEMA na sumu ya vurugu na ukiukwaji wa sheria za nchi

    Fikira zako ni mbofumbofu. Sio kila vurugu ni za kichama tu mkuu fikiria kabla ya kua na mambo ya vyama kulikua hakuna vurugu. Tatizo ni kwamba wenye pikipiki wanamakosa yao na hata ukimgonga mwendesha pikipiki kwa makosa yake mwenyewe wenzake wanakuvamia na kukupiga hata kuku-ua kabisa. Hilo...
  11. R

    JK kufanya uamuzi mzito 2013

    Ataanzisha kikundi cha waasi kiitwacho Unit for Patriotic Army (UPA) ilikumsaidia ajiongezee muda wa kuitawala Tanzania kwa miaka mingine 10.
  12. R

    Kadi ya CCM yamponza Slaa... Sasa ashinikizwa kujiuzulu nafasi yake!

    Anaitwa kagugu wa sisiem..
  13. R

    jamani mke wangu analala vibaya sana!!

    :horn::horn::horn::horn::horn:
  14. R

    Dr. Kafumu (CCM) avuliwa ubunge Igunga!

    Inasemekana our beloved DR.Dalali wa Kafumu kavuliwa ubunge so sad kwa DR try again latter.
  15. R

    Ripoti Maalum: Utetezi wa Tundu Lissu (MB) mbele ya kamati ya Haki na Maadili ya bunge

    Duh! Hii inaonyesha ni jinsi gani wabunge wetu waSISIEM wanavyojua kutudanganya, na la pili wanakua hawajui kitu kinachoelezewa wao ni kupinga na kurusha madongo bila kujua ukweli uko wapi. Mfano mbunge mmoja wa viti maalum wa pwani alikua anaongelea issue ya social securty fund withdrawal...
Back
Top Bottom