Kikwete ni mstaarabu sana,
hayupo tayari kuendelea kuwakandamiza watanzania haki zao kwa
kulazimishwa na mafisadi.
Kikwete atatangaza kujiunga na chadema
Ni kweli. Ataishangaza dunia ima kwa kutofanya uamuzi wowote mzito na wa maana au kufanya uamuzi mwepesi na wa hovyo badala ya uamuzi mzito. Tushamzoea na sanaa zake. Ni ajabu kuwa na rais ambaye hawezi kuwa makini hata dakika moja. Yetu mecho.
Koma wewe! Chadema cyo dampo la kupokea takataka zote.
Kikwete ni mstaarabu sana, hayupo tayari kuendelea kuwakandamiza watanzania haki zao kwa kulazimishwa na mafisadi.
Kikwete atatangaza kujiunga na chadema[/QUOTE
Siku zote wampinga , leo hii wamkubali . Kweli ndio wote mtampigia magoti na kuomba
Koma wewe! Chadema cyo dampo la kupokea takataka zote.[/QUOTE
Kama ingekuwa hivyo ingekuwa bora sana, ila oil chafu zote za CCM huchukuliwa na CDM na vyama vingine vya siasa, sasa hapo utasemaje kuwa sio dampo lakupokea takataka ? CDM ndio dampo lenyewe.
Atakae goma kipigo mpaka kufa.![]()
Kikwete ni mstaarabu sana, hayupo tayari kuendelea kuwakandamiza watanzania haki zao kwa kulazimishwa na mafisadi.
Kikwete atatangaza kujiunga na chadema