Recent content by rikado

  1. R

    Pendekezo: Watumishi wa Umma wafanye kazi mpaka Jumapili

    Tufanyekazi kwa malengo kwa kutumia akili zetu, juhudi na maarifa. Unajua watu hawaelewi kuwa kuna ofisi za umma huwa hazifungwi, ila kunakuwa na utaratibu wa kufanya kazi kwa shift kama hospitali na maeneo mengine nyeti. Kwahiyo mtoa hoja hapa anataka hata shuleni wanafunzi wasome kwa shift...
  2. R

    Pendekezo: Watumishi wa Umma wafanye kazi mpaka Jumapili

    Bahati nzuri viwanda ni vya sekta binafsi. Labda ungeeleza mantiki ya mapendekezo yako.
  3. R

    Ni aibu kusema Tanzania kuna njaa

    Unajua Maelezo bila takwimu inakuwa vigumu hata kuchangia. Kiukweli nchi ina eneo la kekta milioni 40 linalofaa kwa Kilimo, asilimia 10.2 ya eneo hilo ndilo linalolimwa. Eneo linalofaa kuendelezwa miundombinu ya umwagiliaji ni hekta milioni 29.4. Eneo lenye miundombinu linakaribia hekta laki 5...
  4. R

    Ni kweli mvua imechelewa ,Njaa ya Mara moja imetoka wapi.

    Kweli mvua kuchelewa hakuwezi kusababisha njaa katika mwezi huo huo. Kwasasa tunatumia chakula kilichozalishwa msimu wa mwaka 2015/2016. Chakula kinachozalishwa mwaka 2016/17 kitaanza kutumika msimu wa 2017/2018. Hiyo ndio tofauti ya uzalishaji na matumizi.
  5. R

    Viongozi wa dini wameona, kweli serikali bado?

    Matamko yameshatolewa muda mrefu kuanzia ziara zote za Waziri Mkuu na Za Rais. Labda halikueleweka tu ila tayari muda mrefu. TMA ambayo ni taasisi ya Serikali ilishatoa utabiri tangu mwezi Oktoba 2016.
  6. R

    Askofu utatumbuliwa kwa uchochezi

    Kuombea kupata mvua ni jambo zuri. Maombi haya huwa yanafanyika ikiwa mvua ni nyingi mno ikaleta madhara au kama ikiwa hainyeshi. Mungu wetu ni wa huruma. Alichofanya Askofu ni kuwakumbusha waumini kuliweka katika mahitaji muhimu.
  7. R

    Mbunge Upendo Peneza(CHADEMA) akamatwa Geita mjini, aachiwa kwa dhamana

    Labda tuvute subira tuambiwe kosa la kuwakamata. Kama ni jinai au kuvunja sheria nadhani hilo halina aliyejuu ya sheria.
  8. R

    Mkuu wa Wilaya ya Kishapu: Ukame umeua mifugo 3,000

    Mazao kama yatashindwa kustawi kutokana na sababu mbalimbali, kama wadudu, mvua kuchelewa/kutonyesha au usambazaji wa chakula kutoka eneo moja hadi jingine usipofanyika au maandalizi yasiyofaa ya chakula kilichopo na kusababisha virutunisho kupotea huathiri usalama/uhakika wa chakula. Au...
  9. R

    Mkuu wa Wilaya ya Kishapu: Ukame umeua mifugo 3,000

    Ukame ndio njaa? Mifugo inakula nyasi na kunywa maji. Mifugo haina chakula kwenye vihenge na magunia. Mifugo haiwezi kwenda sokoni kununua chakula. ukame ndio hutokea kila mwaka kwa viwango tofuti.
  10. R

    Tunataka wawekezaji, mara wanyang'anyeni leseni!

    That is right, corporate social responsibility. Awasaidie wananchi kupata kaeneo lijengwe tenki LA maji nao wana haki ya kuishi. Life is about give and take! ukitaka kupata tu, unaweza kukosa pia.
  11. R

    Azam Angalieni watu wa kuwahoji

    Tunafurahia hali hiyo?
  12. R

    Ni sahihi Mh. Rais kuzungumza lugha ya kabila lake katika mkutano wa hadhara?

    Hiyo ni kukoleza mazungumzo, kuvuta hadhira ili waendelee kumsikiliza.
  13. R

    Huyu "mzee bure" aliyetajwa na rais Magufuli ni nani?

    Kweli fikra ndiyo inazungumziwa hapa siyo MTU. Bure ni fikra ya kutumaini. Hii haina tofauti na nchi kutegemea misaada inalemaa na kuachackufikiri. Hapo awali nilichangia kuwa tuchukulie kauli ya mheshimiwa Rais kwa mtazamo chanya. Tuanze kutafakali tunawezaje kama MTU mmoja mmoja...
  14. R

    Picha nne ambazo ningependa Mh. Rais azione!

    Cha kuongeza hapa ni kuwa uzalishaji was mwaka Jana ndio chakula tunachotumia mwaka huu. Hivyo haiwezi kuwa kweli mvua ikichelewa wiki mbili au hata mwezi isababishe njaa muda huo huo. Kama mvua haitanyesha uhaba was chakula unaweza kuwa kuanzia mwezi mei na kuendelea. Hivyo kwa muda huu tunayo...
  15. R

    Ni aibu kusema Tanzania kuna njaa

    Kauli ya Raid imetolewa muda muafaka ili tujipange vuzuri katika kilimo kwa kutumia vema mvua zinazonyesha kuzalisha mazao ya chakula. Kauli hiyo pia imesaidia sana wataalam hasa Mafisa ugani ambao kazi yao no kutoa utaalam was kilimo ili uzalishaji uwe na tija. Baadhi ya wakulima wamekuwa...
Back
Top Bottom