Mr Mav
JF-Expert Member
- Nov 18, 2016
- 445
- 154
Mleta huzi hafai kuwa mwanasiasa na hafai kuwa msemaji Wa serikali kwa sababu hana nyota ya maneno; Pia yupo mbali na (NFRA) ambayo lipoti yao inasema mpaka mwaka Wa Jana kipindi kama hiki kulikua na tani 450000/=
na mwaka leo ni tani 90000/=
Pia mwaka Wa Jana mbali ya kua na Chakula cha akiba cha kulizisha mvua ilikua inanyesha maeneo mengi kipindi kama hiki = sasa wewe unasema unaungana + ungana nae tuu ila ukweli utabaki ukweli maana ng'ombe wanakufa kwa ajili ya njaa tunaona na isitoshe watu wengi wanashindia vitu vya asili na vyombo vya habari vimenyimwa Uhuru wake! Nilisha enda kwa RC nikamuelezea hali halisi kuhusu njaa alichonijibu, Rc yoyote adi Dc atakaetangaza kwake kuna njaa na kazi hana!!
Ukiwa mkweli sana utatolewa ngekewa kama Mramba
Ukishiba mkumbuke mwenye njaa.......