Askofu utatumbuliwa kwa uchochezi

ukawa2020

JF-Expert Member
Apr 1, 2016
339
1,314
Nimesema hakuna njaa wewe unasema kuna njaa, unayejua kuna njaa ni Mimi tu sitaki fyokofyoko
1.jpg
2.jpg
 
Msema kweli mpenzi wa Mungu vs watumishi wa Mungu

Ni nani kati ya hawa ametoa maono yanayomwakilisha Mungu ?
 
Anaweza akauchuna,atahisi wanamsuta

Labda kwa lusekelo kwenye kamatia chini
Kule alikomwambia aseme CDM wa namuonea wivu sababu amejengewa Barabara. Ajabu na kweli unamsikia Rais anatoa order ya kujenga Barabara sababu za Kanisa la MTU mmoja.
 
Kuombea kupata mvua ni jambo zuri. Maombi haya huwa yanafanyika ikiwa mvua ni nyingi mno ikaleta madhara au kama ikiwa hainyeshi. Mungu wetu ni wa huruma. Alichofanya Askofu ni kuwakumbusha waumini kuliweka katika mahitaji muhimu.
 
  • Thanks
Reactions: dtj
Hivi kwa nini isifanyike siri kuwa kwa makanisa yote hapa Tanzania, mkuu atakapokwenda kusali, basi hapo hapo yafanyike maombi ya kuombea mvua na kuliombea Taifa hili lisipate janga la njaa.
 
Nimesema hakuna njaa wewe unasema kuna njaa, unayejua kuna njaa ni Mimi tu sitaki fyokofyoko
View attachment 459877 View attachment 459878
Mbona hakuna aliposema kuna baa la njaa? Kasema kuna ukame na upungufu wa chakula jambo ambalo serikali inalitambua na kulichukulia hatua kwa mfano baada ya TMA kutangaza dalili za ukame serikali nzima kuanzia vitongojini mpaka mikoani wanahamasisha mazao yanayohimili ukame hizo hatua zimeanza kuchukuliwa siku nyingi. Lkn bado nchi haina baa la njaa bali kuna upungufu wa chakula especially mahindi lkn nchi bado ina mtama mwingi uwele mwingi mchele mwingi mihogo mingi viazi vingi mazao ya jamii ya kunde pia yako mengi. Jana nimeona mahindi ya kuchoma Tangi bovu vitumbua vimejaa kwa bei ya kawaida mitaani ( Dsm) hiyo ni njaa kweli? Be serious! Huko vijijini pia kuna maeneo machache yamekumbwa na ukame kwa kuchelewa mvua lkn maeneo hayo hayo mvua imeanza kunyesha japo kwa kiwango kidogo. Huyo kiongozi wa dini ni wajibu wake kuwataka waumini waliombee taifa mvua kwani mvua hainunuliwi dukani bali ni m/mungu na hakuna njia nyingine ya kumfikia zaidi ya maombi.
 
Akitoka huko atamshambulia kweli kweli ngoja tusubiri kesho akihutubia Kanisani sijui ataenda parokia IPI maana haeleweki
Ataenda Parokia Ya Mt. Ambrose Tagaste -Kigango cha Mt. Monica -Matosa , uelekeo wa Goba maana ni jirani na kwa Binti yake na ndio husali hapo. Jumuiya ya Mt. Petro. Wapo pua na Mdomo na kanisa hilo!
 
Bakwata nao wametoa tamko la njaa na ukame na kutaka maimamu na masheikh kuhimiza waumini kuombea Taifa liepuka baa la njaa na ukame.
 
Mbona hakuna aliposema kuna baa la njaa? Kasema kuna ukame na upungufu wa chakula jambo ambalo serikali inalitambua na kulichukulia hatua kwa mfano baada ya TMA kutangaza dalili za ukame serikali nzima kuanzia vitongojini mpaka mikoani wanahamasisha mazao yanayohimili ukame hizo hatua zimeanza kuchukuliwa siku nyingi. Lkn bado nchi haina baa la njaa bali kuna upungufu wa chakula especially mahindi lkn nchi bado ina mtama mwingi uwele mwingi mchele mwingi mihogo mingi viazi vingi mazao ya jamii ya kunde pia yako mengi. Jana nimeona mahindi ya kuchoma Tangi bovu vitumbua vimejaa kwa bei ya kawaida mitaani ( Dsm) hiyo ni njaa kweli? Be serious! Huko vijijini pia kuna maeneo machache yamekumbwa na ukame kwa kuchelewa mvua lkn maeneo hayo hayo mvua imeanza kunyesha japo kwa kiwango kidogo. Huyo kiongozi wa dini ni wajibu wake kuwataka waumini waliombee taifa mvua kwani mvua hainunuliwi dukani bali ni m/mungu na hakuna njia nyingine ya kumfikia zaidi ya maombi.
Ulichosema mkuu upo sahihi kabisa sijui kwa nini watu wanachindwa kuelewa barua ndogo kiasi hiki na kutafsiri hisivyo barua hii na ni kawaida kanisa kutoa waraka kama huu inapotokea mvua kuwa nyingi sana inayoleta maafa au mvua kuchelewa kunyesha.
 
Ataenda Parokia Ya Mt. Ambrose Tagaste -Kigango cha Mt. Monica -Matosa , uelekeo wa Goba maana ni jirani na kwa Binti yake na ndio husali hapo. Jumuiya ya Mt. Petro. Wapo pua na Mdomo na kanisa hilo!
Mh!Ngoja tusubiri mipasho ya kesho
 
Back
Top Bottom