Mkuu wa Wilaya ya Kishapu: Ukame umeua mifugo 3,000

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
48,691
149,915
Mkuu wa wilaya ya Kishapu amesema zaidi ya mifugo 3,000 wamekufa kutokana na ukame.

Chanzo:Mwananchi.

Binafsi jana usiku kupitia taarifa ya habari ya Star tv nilishuhudia wananchi wa Rorya wakikalamikia tatizo la chakula kutokana na ukame.

Kama njaa ipo au haipo muda ndio msema mkweli wacheni tusubiri.

DC.JPG
 
bora kibarua kiote nyasi kwa mwanadamu ila kwa Mungu umekuwa mkweli, tusiogope kusema ukweli kisa kumwogopa fulani sema ukweli hata Mungu ajisifie kuwa ana binadamu mwenye akili na ufahamu wa kutambua mema na baya.

Uyo mkuu wa wilaya kibarua chake kitaota nyasi.
Niwashauri viongozi wote mlioteuliwa fateni mkuu anavyotaka ili kulinda vibarua vyenu.
Hatutawalaumu kwani ukweli tunaujua
 
Mkuu wa wilaya ya kishapu amesema zaidi ya mifugo 3,000 wamekufa kutokana na ukame.

Chanzo:Mwananchi.

Binafsi jana usiku kupitia taarifa ya habari ya Star tv nilishuhudia wananchi wa Rorya wakikalamikia tatizo la chakula kutokana na ukame.

Kama njaa ipo au haipo muda ndio msema mkweli wacheni tusubiri.
Hatupeleki chakula wafanye kazi!!!!
 
Mkuu wa wilaya ya kishapu amesema zaidi ya mifugo 3,000 wamekufa kutokana na ukame.

Chanzo:Mwananchi.

Binafsi jana usiku kupitia taarifa ya habari ya Star tv nilishuhudia wananchi wa Rorya wakikalamikia tatizo la chakula kutokana na ukame.

Kama njaa ipo au haipo muda ndio msema mkweli wacheni tusubiri.
Sikuhizi mnaangalia star tv??? Hahahahah
 
Mkuu wa wilaya ya kishapu amesema zaidi ya mifugo 3,000 wamekufa kutokana na ukame.

Chanzo:Mwananchi.

Binafsi jana usiku kupitia taarifa ya habari ya Star tv nilishuhudia wananchi wa Rorya wakikalamikia tatizo la chakula kutokana na ukame.

Kama njaa ipo au haipo muda ndio msema mkweli wacheni tusubiri.
KUUKANA ukweli ni KUJIUMIZA sisi wenyewe
Hongera DC kwa kusema ukweli.
Nakupongeza sana
 
Mkuu wa wilaya ya kishapu amesema zaidi ya mifugo 3,000 wamekufa kutokana na ukame.

Chanzo:Mwananchi.

Binafsi jana usiku kupitia taarifa ya habari ya Star tv nilishuhudia wananchi wa Rorya wakikalamikia tatizo la chakula kutokana na ukame.

Kama njaa ipo au haipo muda ndio msema mkweli wacheni tusubiri.
Ukame ndio njaa? Mifugo inakula nyasi na kunywa maji. Mifugo haina chakula kwenye vihenge na magunia. Mifugo haiwezi kwenda sokoni kununua chakula. ukame ndio hutokea kila mwaka kwa viwango tofuti.
 
DC hajasema Kishapu kuna NJAA. Kasema mifugo imekufa kwa UKAME. Ni vitu tofauti. Hata Rais alisema ng'ombe 17000 wamekufa kwa ukame huko Moro. Na ni uzembe wa mfugaji.

Yaani ng'ombe wa kwanza afe hadi wa elfu3 wafugaji wanaangalia tu? Wauze haraka watunze pesa.

Km hawauziki wawachinje na kusindika nyama hata km ni kwa njia za asili. Baadae watauza tu au kutumia iwapo njaa itatokea.
 
Mkuu wa wilaya ya kishapu amesema zaidi ya mifugo 3,000 wamekufa kutokana na ukame.

Chanzo:Mwananchi.

Binafsi jana usiku kupitia taarifa ya habari ya Star tv nilishuhudia wananchi wa Rorya wakikalamikia tatizo la chakula kutokana na ukame.

Kama njaa ipo au haipo muda ndio msema mkweli wacheni tusubiri.
Hugo DC ajitafakari.Anakufa ngo'mbe Wa hadi wanafika elfu Tatu yeye yupo tu.Alishindwa kuwashauri wafugaji kupinguza mifugo ili iendane na malisho

Atumbuliwe tu
 
Halafu acha hiyo mifugo ife. Tena SANA. Hawa wafugaji wa kisukuma wanasumbua sana wakulima huko Morogoro, Kiteto na Kilindi.

Juzi tu wametoboa koo la mkulima.

Kilio cha wakulima kimeskika. Watakufa hao mifugo hadi wafugaji wapate akili za kufuga kisasa. Ngoja na mimi nikazie maombi ya KUUA MIFUGO hasa iliyoko Morogoro. Gepu ni ife kama milioni 1 hivi. Ameeen
 
Back
Top Bottom