Ni kweli mvua imechelewa lakini Njaa ya Mara moja imetoka wapi?Mbona maghala ya chakula yamejaa.?Je,mvua ingewahi vyakula vingepatikana kwa mwezi mmoja?Hizi ni siasa za majitaka.Wapinzani tafuteni hoja za msingi.Nenda makambako kuna ghala ya Taifa ya mahindi ,mahindi yamejaa .Nenda Ruvuma ghala imejaa mahindi.Maghala yote yamejaa vyakula.Mpaka vingine vinauzwa nje ya nchi.Njaa ipi mnayoongea ukawa?